Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inabidi watulie ili mimba iingie vizuri.
 
Kama vile naliona game la draft Magu vs Kenyata, Magu amekaa anasubiria nyang'au ajichanganye huku Kenyata anaona kete kama zina moto vile
Akibana anaua shirika la ndege, akikubali basi ataudhihirishia ulimwengu kuwa TZ ndo baba lao kwenye maamuzi
 
Kenyatta hana jinsi zaidi ya kuomba msamaha tu mana KQ ni ya mabeberu ila yeye na familia yake wanakula 10% so ni lazima akubali yaishe cz hasara itakayopata kq ni ya beberu na beberu hataki kuckia kuhusu hasara "the real loss kwa kukosa routes za Tz" mana loss wanayotangaza kila siku huwa ni ya kukwepa kodi but hii ya ss ndo loss yenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…