Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Akae tuu akielewa hilo,ki ukweli Kenya sio taifa la mfano wala kujivunia,,,ni Nchi isiokuwa na usawa wala haki.
 
utaona tu kesho kwa media zao watakavyoanza kulia lia

ingia twitter uone.. mpk nacheka [emoji23][emoji23] wanasema tuko childish... lkn hii spana lazima waielewe

hiv inawezekanaje mtoto wangu alikuwa anakuja kwako na kucheza tu kawaida ila ghafla unamzuia kuingia kwako bila kunitaarifu.. afu mim nikimzuia mtoto wako unasema nimefanya utoto?? sema nn.. hii spana mbona bado ndogo sana [emoji375][emoji375][emoji1009] ... na hapa hakika Tanzania tumeuonyesha uanaume!!
 
na bado,maana wanaujinga sana hawa wakenya,,,wanaanzisha vitu vyakipuuzi tukirudisha pigo wanalia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…