Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

funga mdomo jua unayeongea naye ni nani...hapa unaongea na nchi iliyokuzidi kuanzia idadi ya millionares mpaka billionares. usirudie tena kuongea pumba za kuafford

kila sehemu kuna wanaojiweza kifedha na wasiojiweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una akili za usiku. mtanzania hawezi ishi kwenye appartment kama hizo,,,inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na akili za kunguru......yaani bila haibu unaziita hizo uchafu ni appartment....

pole yako mzee ojwani,
of Course, billionaires in Tanzanian shillings. Kenyans have more dollar billionaire;s the trick that people use is to hide their wealth in phony companies to evade taxes. They also distribute wealth among economically inactive members of their families like grandparents to cheat Kenya Revenue Authority. But in a banana republic of Tanzania everyone rushes to declare their wealth for clout.
 
Seventeen eighteen tower
Westlands%20Apartments%203.jpg
tapatalk_1596211257114.jpg
 
Nani awe shamba boy wa Kenyatta maana ardhi yote anamiliki na familia yake wakati nyani zina miliki mbuga na madampo ya kibera
Njoo uone wenzako wanvyoteseka kw kufanya kazi za vitu reja reja katika streets zetu..

Wengine hutembea nyumba hadi nyumba kutafuta kazi, uzuri wao wako loyal sana kwanza maasai
 
of Course, billionaires in Tanzanian shillings. Kenyans have more dollar billionaire;s the trick that people use is to hide their wealth in phony companies to evade taxes. They also distribute wealth among economically inactive members of their families like grandparents to cheat Kenya Revenue Authority. But in a banana republic of Tanzania everyone rushes to declare their wealth for clout.
Hao dollar billionaires kutoka kenya embu tuwekee majina yao hapa.
 
of Course, billionaires in Tanzanian shillings. Kenyans have more dollar billionaire;s the trick that people use is to hide their wealth in phony companies to evade taxes. They also distribute wealth among economically inactive members of their families like grandparents to cheat Kenya Revenue Authority. But in a banana republic of Tanzania everyone rushes to declare their wealth for clout.
Achana na ndoto za mchana ww hao ma millionaire wa kwenu ndio wale wanao chakata pesa za mikopo juu kwa juu
 
Wealthy people have tangible assets but lack liquid cash, thats why they take loans. This is simple economics. And unlike Tanzania with an undeveloped banking sector, its not easy to get loans in Kenya without collateral.
 
Back
Top Bottom