Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hongera kenyans kwa kuunda gari nzuri la kisasaView attachment 1522409
miaka mingi iliyopita wakati nikiwa mtoto nilikuwa naunda gari za mabox huku nikivuta kwa kamba. ,,,leo nimefurahi sana kushuhudia gari lenye muonekano kama zile gari zangu za mabox nilizokuwa nikiunda wakati nikiwa mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah ila tuwapongeza wakenya kwa hatua nzuri waliyofikia Ahahha mm nilizimodfy kwa kuweka mskanio kabisa
 
Aliyejishuku.....?[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…