Yani mkenya ababaike na nchi za hapa afrika[emoji23][emoji23][emoji23]Baby, Safari yako nje ya Kenya umesafiri wapi? Nataka nikupee ofa twende Cape Town
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm binafsi hili jina liliniudhi sn nilipenda uwanja uitwe majina yetu ya vivutio mfano Olduvai Gorge, Ngorongoro Crater, Kilimanjaro, au hata Shamba la Bibi ili kukienzi kiswahili na co national stadium cjui matakataka gn huwa cpendi kweli majina ya kuiga iga.
Dege lenyewe nimeliona limechoka balaa yn jamaa mandege yao yote ni vimeo, kuna mmoja alifungua uzi wa kenya kuwa na air wing basi hayo mandege yao nilicheka sn na tuliwaambia haya mandege yamechoka wakabisha ila kilichofuata ni mandege kuanguka mara kwa mara na bado yanaendelea kuanguka, failed state bhn[emoji3][emoji3][emoji3]si niliwaambia chopper mbovu [emoji23][emoji23][emoji2][emoji116]
Heheheheheeee jirani kazi wanayo awamu hii, jani linapendeza hadi raha[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo ni:Mm binafsi hili jina liliniudhi sn nilipenda uwanja uitwe majina yetu ya vivutio mfano Olduvai Gorge, Ngorongoro Crater, Kilimanjaro, au hata Shamba la Bibi ili kukienzi kiswahili na co national stadium cjui matakataka gn huwa cpendi kweli majina ya kuiga iga.
Hapo safi tu.Hapo ni:
Benjamin Mkapa Stadium