Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sijui watu wanajiskiaje.

Unajua ubaya wa dsm inabadirika kwa kasi sana 2017 wakati huu uzi unafunguliwa.hapa palikuwa pa hovyo tu.

Sijui 2025 hali itakuwaje.Mungu atupe uzima.
Maana ndugu zetu silaha zimeisha siku hizi wanafungua uzi hata uwekaji wa paving za watembea kwa miguuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2015 aisee
 
wengine walifungua uzi kufunguliwa vyoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watanzania huwa mara nyingi hupost picha za Dar es salaam humu sio rahisi uwaone wakipost picha za Nairobi humu labda uwachokoze,

Ila mkenya anaamka tu asubuhi anaanza kupost picha za Dar [emoji23][emoji23][emoji23]

Ina maana picha za Nairobi zimeisha au ni inferiority complex ama ni kweli wameanza kuogopa hii battle!
 
Tena picha yenyewe anapost ni ya 90s[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Walizoea kuongopeana wanazidi Tz kwa mambo mengi but now kibao kimegeuka WaTz ndiyo wanaamini wamezd kenya mambo mengi [emoji3][emoji3][emoji3]
Media zao huwa zinawajaza ujinga sana bila kusahau huwa wanaanza kukaririshwa kuanzia shuleni kuwa wapo bora kuliko waafrica wengine [emoji23][emoji23][emoji23]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…