wakiona vitu vizuri wanavamia tu πππππππwewe ni mgeni wa hii thread,hata huijui kwanini watu tumefikia hatua ya kupost picha za Znz na wakenya kupost picha za mombasa.
tulia kijana,acha papara.rudi page kadhaa nyuma na usome baadhi ya comment kwa umakini ndio utajua sababu ya kupost picha za zanzibar.
thread hii umeivamia kwa pupa.
ichoboy01
damn!!...that photo reminds me of my apartment i rented in buruu58 some year ago.[/IMG]
hiyo ndio shida ya kuvamia thread na kujifanya mjuaji.nimemshauri kabla hajakurupuka ku-comment arudi page kadhaa nyuma azisome kwa umakini.wenzako walitaka kujua zanzibar ndio hio sasaππππππ
zanzibar kwenye hotel na beaches chukua lamu changanya mombasa na dianiππππππ
wanadhani hili ni jukwaa la MMU kwamba unaweza tu ukavamia ktk thread hata ikiwa page ya ishirini na ukaandika porojo zako tu just like that.wakiona vitu vizuri wanavamia tu πππππππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]zanzibar kwenye hotel na beaches chukua lamu changanya mombasa na dianiππππππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Si lazima kuipenda Kenyanigerians Congolese Rwandese fall in love with the great Nairobi. ...but these pathetic bitter neighbours of ours.. smh.kama wako Kenya wanajifanya wapole kumbe nyoyo zao zimeoza
darislummers,, mulishaacha kuoga kwa mito???
Kweli hoja zimeisha!! Mme hamia tena kuwasemea hawa jamaa, lakini pia kumbuka uwepo wa congolese and the like does not symbolize development. Tupe fact acha porojonigerians Congolese Rwandese fall in love with the great Nairobi. ...but these pathetic bitter neighbours of ours.. smh.kama wako Kenya wanajifanya wapole kumbe nyoyo zao zimeoza
Kwanza Nigerians na congolese wamejaa Eastlands sana....
Si lazima kuipenda Kenya
weka ligi diani mombasa na lamu kwa znz kama uko fitπππππBeaches naenda diani but Zanzibar naeza enda juu ya hizo viuno vina tingishwa
Haha si uamke uwache kulalaweka ligi diani mombasa na lamu kwa znz kama uko fitπππππ
ππππ unaogopa enhhhHaha si uamke uwache kulala