Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana, tanzania vs kibera[emoji122][emoji122]
Umeonyesha uzaifu snaaaa ....usijarbu kujipima na heavy weight km DSM....bakini na Jiidiiipiii yenu for meantime....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Upanga, cbd, kariakoo, ilala hamna kitu zaidi ya hapo unaweza weka jf
Usije na akil za kitot kwang ...niambie tu unahitaj kuona maeneo mengine zaid ya hayo...na nipo hapa kukupa bilashaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]chukua hizi kinondoni,Ubungo na futurelistic CBD kijito nyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382]
 
Huna hadhi ya kujadili mada na watu na akili zao
Nikajua ww kumbe unajitoa akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pumba huna point ....ukionamaumiv yamezid kukimbia unaruhusiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Rudi kijiweni ukapige soga, huna hoja kazi kujitoa ufahamu tu..
Zero brain wa jf
Maumiv yakizid unaruhusiwa kukimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] na upperhill ushuzi .... headless never tell me nothing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

ila nimejiuliza au nina wasiwasi... mtu katoka nje ya nchi (zenye corona) ila amejimuhisha moja kwa moja na watanzania, what if amepata corona on the flight or on the way in between then akawaambukiza.. hapo tu ndo nina wasiwasi!
 
ila nimejiuliza au nina wasiwasi... mtu katoka nje ya nchi (zenye corona) ila amejimuhisha moja kwa moja na watanzania, what if amepata corona on the flight or on the way in between then akawaambukiza.. hapo tu ndo nina wasiwasi!
Pale airport wasingemruhusu kupita kama ana huo ugonjwa au hata dalili tu.
 
sidhan kama airport wanapima.. wanaangalia certificate tu ya vipimo ambayo inakuwa invalid after 14 days... sasa what if amepata airport ya huko au ndan ya ndege
Wanapima, tena wako very strict, kuna overhead thermal scanners kabla ya kuvuka kwenda Immigration desks, joto lako likiwa juu hata Kama unayo certificate ya ulikotoka wanakuvuta pembeni for further measures.
 
Eti kijitonyama iwe CBD,hahaha,tens ilala hamna kitu,ile tu picha moja ya background ya kariakoo huwa tana pangaizwa nayo eti ilala,hahaha
 
Wanapima, tena wako very strict, kuna overhead thermal scanners kabla ya kuvuka kwenda Immigration desks, joto lako likiwa juu hata Kama unayo certificate ya ulikotoka wanakuvuta pembeni for further measures.

nadhan hujaelewa.. unaweza kuwa na corona na isionyeshe dalili kwako, ila utakayemuambukiza anaweza kuonyesha dalili after a few no of days

anyway achana nayo.. wasiwasi ni mtu kutoka nje then immediately anajumuika na kundi kubwa la watu.. kujumuika na kundi kama familia sio shida... shida ni ile kundi la watu weng sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…