Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1600km² imejaa vijiji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalia density hyo, hahahahahahahaaaa yn hyo picha imepigwa mbali mno lkn bdo inaonekana eneo kubwa limekuwa covered with towers, jaribu kupiga nairobi kwa angle hyo af uone kama hujaanza kucheka ww mwenyewe kabla yetu.
😀 😀 😀 Mrembo keshalainika huku, hawa mahanithi wanamchosha tu kumfosi ajitoe ufahamu wakati mtoto yuko honest
 
Yani wabongolala akili zenu zilipotelea wapi jameni....hapo unajaribu kuamisha watu ni kutoka cbd hadi Westlands.sasa nakupa the whole Westlands cbd peke, ambayo ni kubwa na inahatua (km) same kama hiyo ya kutoka posta hadi makubusho na bado nimetumia fastest route
 
Then from posta to makubusho you pass through slums while Westlands is developed area....msifanye tufanane jameni.You got a long way to go ili mfike mahali Nairobi ilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…