El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
3 bedroom unaeza pata na 18-30k eastlands
Ety low quality??? Wewe hujui Nairobi.... Places like Donholm,Fedha,Tassia,Nyayo estates have quality and affordable apartments you'll never see in Darunaweza ukapata but of a very lower quality.naifahamu nairobi vizuri kijana.huna la kunidanganya.
halafu Nina wasiwasi wewe unalala sitting room.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
punguza hasira...umepata breakfast kweli?.
njaa inawafanya mda wote muwe na hasira.[emoji23] [emoji23]
Kwanza Nigerians na congolese wamejaa Eastlands sana....nigerians Congolese Rwandese fall in love with the great Nairobi. ...but these pathetic bitter neighbours of ours.. smh.kama wako Kenya wanajifanya wapole kumbe nyoyo zao zimeoza
Porojo hiyo....[emoji23] [emoji23]Ety low quality??? Wewe hujui Nairobi.... Places like Donholm,Fedha,Tassia,Nyayo estates have quality and affordable apartments you'll never see in Dar
kama munazo leta hapa sio porojoYaaani watanzania ushamba hadi lini?? hauna aibu kuweka these trucks hapa! ndio munaziona kwa mara ya kwanza Tanzania!! guys hii thread has proved Tanzania kweli ilikua imelala na nyuma, we passed those long ago, had and even vandalized some! ile wakati ya manispaa(municipalities), now we are in county governments, maendeleo kila eneo, we have finished 5 years now na mabadiliko kila upande kenya umeonekana, miaka ingine tano tutakua wapi? nyinyi mabadiliko kubwa ni Dar pekee!! kwingineko ipo lakini duni!
endelea kujipa moyo hvo hvoπππππππHaha acacia niya Tz?? Vile mnaporwa hapo KCB,EQUITY na kampuni mingi za Kenya zunashikilia uchumi wenu
Meza machungu sportpesa sai inatishia Tz vibaya sanaendelea kujipa moyo hvo hvoπππππππ
hayo mawazo yako ndio maana nikakwambia kenya kuna maskini wengi sana na ardhi kwa maskini ni ndogo sanaangalia epz kenya, kisha linganisha! stop being a blind patriot kama Annael na kakake Ichoboy01, wakiona kitu kizuri tz wanaamini ndio sasa! tumewapiku kenya.., hii thread has exposed to me Tanzania ya sasa, mnashangazwa na maendeleo chache, zingine tulifanya kitambo, na kutegemea mtandao!! tembeeni mjionee wenyewe!!
Lorry imebeat hivo..ebu nitumie CBD ya Zanzibar nmetegea sanakama munazo leta hapa sio porojo
profit motivated na hakuna nchi unaeza fanikiwa kibiashara kama tanzania ndio maana wawekezaji wanaingizana kila kukichaπππππππMeza machungu sportpesa sai inatishia Tz vibaya sana
...njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]next .......
πππππππ zanzibar imekunyima usingizi kabisaLorry imebeat hivo..ebu nitumie CBD ya Zanzibar nmetegea sana
Ety low quality??? Wewe hujui Nairobi.... Places like Donholm,Fedha,Tassia,Nyayo estates have quality and affordable apartments you'll never see in Dar
Unaclaimigi umefika Nai but hujawai fika....ebu nikutest:Porojo hiyo....[emoji23] [emoji23]
tuletee hapa tuone ya 90s hioKenya had that in 1990's
πππππππππCjaona CBD ya Zanzibar...hizo ma beach na mahoteli haina anything new
Zanzibar has no cbdπππππππππ
...njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wameona kuna friendly investment environment ambayo itawapatia fauda ndio maana wakaja.Meza machungu sportpesa sai inatishia Tz vibaya sana