Kweli kama level yao ni Ku rent dormitory hatuwezi wafikia , maana uku watu wana own land na wana build houses za ndoto yaoAm yet to see anything spectacular from tz apart from swahili! nimefuata hii thread tokea mwanzo! bado tz haiko level ya kenya, ukweli ni kua kazi iko kwa kasi., but not yet there! mungekua na gdp kubwa kulingana na vile munapiga domo humu! dar bado, lakini inakuja kwa kasi., zanzibari ni kwa waswahili wazembe na washamba, wageni wanao tembea kule ndio wanachangamsha mji.
Tembea ujionee kaka! kenyans have homes, where they buid and are burried, only one tribe wanaishi kama wazungu, the kikuyus, anaishi mahali, akodi ama ajenge, akifa anazikwa kwa public cemetry katika mji anayoishi. mjini ni kutengeneza pesa tu., mjaluo wa kibera ama mji yoyote kenya, akifa ndio utajua ako na shamba lao na kwao, mahali anazikwa na nyumba, mitandao imewadanganya, hamuijui kenya badoKweli kama level yao ni Ku rent dormitory hatuwezi wafikia , maana uku watu wana own land na wana build houses za ndoto yao
Yani Tanzania raha sana imagine una tengeneza nyumba unayotaka ukae na family yako
Poor Kenyan wanaishi dormitory na wanalipa rent kwa dormitory lord
Imagine mwanaume wa Kenya hana mawazo ya kujenga Nairobi yy mawazo ni kuishi dormitory ya ndoto zake akiwa na mke wake , na ndio maana wanawake wana wachapa sana wanaume wa Kenya maana hawana mawazo ya Ku own land wala house
Its humiliation kwa wanaume wa Kenya na GDP kubwa yao
Haha acacia niya Tz?? Vile mnaporwa hapo KCB,EQUITY na kampuni mingi za Kenya zunashikilia uchumi wenu😀😀😀😀 mbona unatapika hvo
Gdp ya kenya imeshinkwa na investors lakini wakenya ni masikini hakuna mfano.......
So mm nilifkiri kwanza mupambane na njaa janga la taifa alafu mkimaliza muje
By the way znz ni mji wakitalii unafahamika kitambo sana......
Kenya had that in 1990'sDar es salaam. State of the art automatic road sweepers trucks. Nairobi it will take years to have oneView attachment 524048
View attachment 524053View attachment 524054View attachment 524053View attachment 524054
halafu ma-youth wengi wa nairobi wanalala sitting room kutokana na uhaba wa vyumba ktk baadhi apartment.Kweli kama level yao ni Ku rent dormitory hatuwezi wafikia , maana uku watu wana own land na wana build houses za ndoto yao
Yani Tanzania raha sana imagine una tengeneza nyumba unayotaka ukae na family yako
Poor Kenyan wanaishi dormitory na wanalipa rent kwa dormitory lord
Imagine mwanaume wa Kenya hana mawazo ya kujenga Nairobi yy mawazo ni kuishi dormitory ya ndoto zake akiwa na mke wake , na ndio maana wanawake wana wachapa sana wanaume wa Kenya maana hawana mawazo ya Ku own land wala house
Its humiliation kwa wanaume wa Kenya na GDP kubwa yao
Ameamua kujenga ma dormitoriesPoa usijali kaka mzigo huo
Fumba town under construction
Project of azam owner
View attachment 524062 View attachment 524063 View attachment 524064
View attachment 524065
View attachment 524067
Ameamua kujenga ma dormitoriesPoa usijali kaka mzigo huo
Fumba town under construction
Project of azam owner
View attachment 524062 View attachment 524063 View attachment 524064
View attachment 524065
View attachment 524067
povu hilo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ameamua kujenga ma dormitories
Ameamua kujenga ma dormitories
3 bedroom unaeza pata na 18-30k eastlandshalafu ma-youth wengi wa nairobi wanalala sitting room kutokana na uhaba wa vyumba ktk baadhi apartment.
hii hutokea pale baba anapolipia apartment ya two bedroom halafu ana watoto watatu au wanne wa kiume na kike.
katika situation kama hii,Mara nyingi mtoto wa kiume huamuliwa kulala sitting room.
"wa mwisho kulala wa kwanza kuamka".
I saw this with my own eyes last year when I visited one family in nairobi.so shame...imagine
NB:
ifahamike kuwa ni wakenya wachache sana wenye uwezo wa kulipia three bedroom apartment.
kupata apartment ya ndoto yako jijini Nairobi ni very expensive.itabidi ulipie pesa nyingi.
minimum price for a beautiful 3bedroom apartment in nairobi is ksh80000 to ksh100000 per month.
hiyo ni pesa nyingi sana sio masihara.
hapo ndio unakuta baadhi yao wanalazimika kwenda ku-rent house kwenye maeneo duni kama kibera,mathare,mukuru kayaba nk.
Kenya is Kenyan owned..Tz is Arab ownedpovuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
kenyatta family land ownership in kenya.
unaweza ukapata but of a very lower quality.naifahamu nairobi vizuri kijana.huna la kunidanganya.3 bedroom unaeza pata na 18-30k eastlands
unaweza ukapata but of a very lower quality.naifahamu nairobi vizuri kijana.huna la kunidanganya.
halafu Nina wasiwasi wewe unalala sitting room.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kenya is Kenyan owned..Tz is Arab owned
punguza hasira...umepata breakfast kweli?.there is no single quality apartment you have managed to post here Mr natambua Nairobi nonsense. ....those ugly houses you used to post here ndio quality? .....are your marbles really rolling upstairs msee?
6 biilion barrels uganda oil remember will be passing tanzania😀😀😀😀😀😀Atleast we are sure Uganda won't surpass you.mkumbuke wana mafuta 6 billion barrels.....Tanzanians should stop imagining that they are the only people developing. .....Kenya is sprinting as you build resort city