Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
Hatuongelei jengo moja moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla. Halafu hiyo Addis Ababa ikashindane na Kampala labda.Unaota wewe. Skyline ya Nairobi imeishinda Dar na wala hakuna ubishi hapo. The 3rd tallest and the 5th tallest buildings are in Nairobi. Soon another one called GTC will be commisioned. Yaani kati ya majengo nane ndefu Africa Kenya itakuwa na tatu mwishoni mwa mwaka huu. 1. Britam towers (200 metres). 2. Global Trade Centre (184 metres). 3. UAP building (163 metres).
Tanzania ina mbilikimo kadhaa. Tanzania ports Authority HQ (157 metres). PSF commercial towers A and B (152.7 metres)
Leta ligi kwenye maeneo mengine lakini sio kwenye skyscrappers. South Africa tu ndio imeishinda Kenya kwenye majengo marefu. Ingawa kuna jengo moja matata huko Ethiopia ya 198 metres ambayo itakamilika mwishoni mwa mwaka huu. Ethiopia inaweza kutupea ushindani kidogo lakini sio nyinyi na majengo yenu mbilikimo.
Ulikuwepo Dar wakati meya ni Charles keenja?Kusema kweli Makonda yuko vizuri huu ndio ukweli, Dar es salaam haijawahi kuwa known na safi kama kipindi cha huyu jamaa, mkuu wa mkoa wa sasa hata Jina simjui, hata sura tu, tuwe wakweli tuache unafiki Makonda ni mtu mbunifu sana sana na anafaa sana. He is known, mkoa kama Dar unatakiwa hivo, mtaniambia mkuu wa mkoa huyu.
Wewe hujui maana ya neno skyline, building tatu haziwezi tengeneza skyline ya kutisha pengine kwenye ndoto tu.Hatuongelei jengo moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla. Wewe unaweza kuwa na refu zaidi ila mwenzio anayo mengi zaidi. Na sio kwamba ni mafupi, ni marefu sema refu zaidi unalo wewe. Kama unabisha chukua picha za mbali za juu zinazoonyesha kwa upana majiji hayo, then compare.
Kusema kweli Makonda yuko vizuri huu ndio ukweli, Dar es salaam haijawahi kuwa known na safi kama kipindi cha huyu jamaa, mkuu wa mkoa wa sasa hata Jina simjui, hata sura tu, tuwe wakweli tuache unafiki Makonda ni mtu mbunifu sana sana na anafaa sana. He is known, mkoa kama Dar unatakiwa hivo, mtaniambia mkuu wa mkoa huyu.
Ukiona mtu anakuzungumzia sana wakati wewe ufanyi hvo..huyo mtu anakuhofia SANA.Ukweli nikwamba hawa nyang'au maisha kwao hayaendi bila kuongelea Tz....wanatafut tuonekan n kaubay flani....jiuliz3 Tz ilipoingia tu middle income walikaa kimyaa km hawapo Duniani....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pipi hawa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mahali nimesema hivyo.building tatu haziwezi tengeneza skyline ya kutisha.
Mimi nina mhusudu sana Bwana Makonda, ila mimi sijui kwa nini aliamua kutokumsaidia Rais hyo kazi aliyokuwa amepangiwa....anyway mimi ninamuombea apate nafasi tena.[emoji58][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana yule tamaaa alisahau ilimua fisi
Kweli anachapa kazi.ukiachana na mapungufu yake mengi, jamaa ni mzur kufatilia miradi ya serikali, i hope kweny zile nafas kumi atateuliwa kuwa naibu kumsaidia jafo TAMISEMI
Ni mzee wa kumwaga chai na kujipambanua na miradi ya JPM kuliko hata mawaziri wenyewe! Yaani mshikaji alijipambanua mpaka akawa substitute ya JPM mara aitishe mikutano ya Wazee was Dar mara afanye ziara ya kutembelea miradi anapotoka JPM anaingia yeye! Full promo!Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tena
Makonda ni mfano bora kwa kila kijana anaetaka kuwa kiongozi......yeye na Ali Hapi ninawatizama sana......ni kina Dr Kleruu wa wakati huu.watabisha, lkn kajitahidi sana!.. jamaa ni showoffs nyingi lkn kazi anafanya sana
Mzee wa promo na kujipambanua kama mbadala wa JPM mara aitishe mkutano na wazee wa Dar, mara afanye ziara anapotoka JPM ali mradi a-trend huku suala la usafi bado! Ajiandae kukabidhi ofisi!Hadi takataka dar sikuizi zimerudi makonda ni mbumbumbu mzembe mji umeanza kuwa mchafu tena
My friend hakuna point ya mvutano I have all the data about the total number of buildings that exists all over the world including dar na nairobi. .so far nairobi has a total of 230 buildings and dar es salaam has a total of 104 building. .this includes building under construction, planned. .facts za dar ziko hapa it will show you everything hadi majina ya jengo Dar es Salaam,,Tanzania , nairobi ndio piaHatuongelei jengo moja ila tunaongelea skyline kwa ujumla.Wewe unaweza kuwa na refu zaidi ila mwenzio anayo mengi zaidi.Na sio kwamba ni mafupi,ni marefu sema refu zaidi unalo wewe.Kama unabisha chukua picha za mbali za juu zinazoonyesha kwa upana majiji hayo,then compare.
Mkuu hata kama unajua kuongoza kuliko watu wote duniani lkn km unakosa nidhamu hufai hata kuongoza wanyama, hata km ww ni mchapakazi hodari duniani lkn km una kiburi na majivuno basi hufai hata kuwa karibu na jamii.ukiachana na mapungufu yake mengi, jamaa ni mzur kufatilia miradi ya serikali, i hope kweny zile nafas kumi atateuliwa kuwa naibu kumsaidia jafo TAMISEMI
hana lolote ni kiki tu tena ktk miradi mingi amefeli mana anachokiongea mara nyingi huwa hakitimii.aawapi! Mradi wa Mbezi Luis bus stand na Machinjio ya kisasa vingunguti ni mpaka JPM alipomkurupusha! Sema ni mzee wa kucheza na media! Na kujipambanua na miradi ya Kitaifa alikuwa anani-bore kila JPM alipofanya ziara ya kukagua miradi naye huyo kimbelembele kuanzisha safari kama kujaribu kujipambanua na Mkuu wa Mkuu wa nchi!
Binafsi cmkubali kabisa kwasababu hana heshima, ana kiburi, wakati mwingine anatumia ofisi vby, ss huo ndiyo uongozi gn eti kisa ni mchapakazi kwa uchapakazi upi? Atupishe bhn ila km atapewa apewe tu mana ndo mambo ya rizki hayo huwezi pinga, but personally I don't like his leadership style.hana lolote ni kiki tu tena ktk miradi mingi amefeli mana anachokiongea mara nyingi huwa hakitimii.
Ss nenda umwambie akikubali umvue uraia.sio Mkenya huyo.
aliingia vipi Tanzania wakati mipaka imefungwa?
Hatimaye nimefika Tanzania. Haya ndio niliyojionea mpaka dakika hii
Hio sio kazi yanguSs nenda umwambie akikubali umvue uraia.
Ndo hili jungle hapa, huoni aibu, tofauti ya Dar na Nairobi ni pori mzee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]mwenye anataka kujua information kuhusu majengo yote ya Tanzania ama kenya fuatilizieni hili link hapa EMPORIS . So far nairobi has 230 buildings na dar 104 nairobi imeshinda dar mara mbili kwa mijengo. Kwa ujenzi nairobi imelaza dar hands down