Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa ni wapuuzi sana.
 
Huko COVID-19 imepamba moto. Kuna jamaa nafikiri ni Mkenya jana aliniambia kwamba barakoa za msaada zinaimaliza Kenya. Kenya inapokea barakoa za msaada bila kuzifanyia utafiti inawapa wananchi kuzitumia.
Watajua hawajui kudadadeki, kipindi Jpm alipowaambia WaTz washone wenyewe barakoa, akakataza fumigation na kuhimiza dawa za kienyeji wakamuita Kinjeketile ngwale, ss wao ndiyo wamekuwa mangungo
 
WAKENYA WANGESE SANA. WANATABIA YA UMBEAUMBEA SANA, NIMEONA HII BAADA YA KUKUTANA NA KUISHI NAO NIKIWA MASOMONI CHINA... NDIO MAANA KILA KITU KIZURI WANASEMA CHA KWAO... HAWAJIAMINI KABISA KATIKA MAMBO YAO....
 
15th July, 2020 dadeki [emoji1241]
View attachment 1510598
Alafu utasikia mjinga mmoja anasema Mishahara ya watumishi TZ ni midogo,wakati kwao yote inaishia kwenye chakula na bili ya umeme,TZ gharama ya maisha iko chini sana.JNHP ikiisha,gharama ya maisha yatashuka sana,saving itakuwa kubwa na watu watatajirika sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…