Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu wanatuogopa na hawajiamini ndio maana hawawezi kukaa bila kutaja taja Tanzania,

Eti tuonee wivu diesels locomotives tena second hand [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawacharaza mpk hawana hamu, kuna mmoja katiwa vitasa kunako u tube mpk huruma, yn cku hz mkenya kawa fala kabisa kwa mTz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndo kama hivyo bundle kwangu lipo muda wote sema nikutumie pesa ya bundle kwa maana saa hii upo unagongea Wi-Fi

Najua utumizi wa Wi-Fi unakushtua.
Lakini ulaya Kenya Wi-Fi kwa nyumba ama ofisi ni jambo la kawaida.
In fact hapa hatutumii bundle.

Pengine mwaka 2030 bongo pia mtapata fibre na router za kuleta Wi-Fi nyumbani, kwa speed za ajabu.

Leo hii samahani naona speed ni slow kidogo hapa kwangu.

Speedtest by Ookla - The Global Broadband Speed Test

 
Hii ndio treni ya umeme?
View attachment 1509309
Usijitie wehu mwanga wewe. Hiyo ni treni ya Mkandarasi Yapi Merkezi. Hata logo yao ipo kwenye hiyo treni zoom tu Utaona. Usidhani nchi yetu ni mbovu kama yenu.....mnapanda mahindi mnavuna viazi. World class infrastructure my ASS

Wtf is this??😂😂😂
 
Kenya ni jumba la makumbusho kweli kweli, mfano mpk leo kuna;

1. chai maarage,

2. madege ya first world war na bado yanapiga route,

3. usafiri wa baiskeli ndani ya CBD,

4. vivuko vya tangu enzi za mwalimu,

5. treni za kutumia kuni

Hebu jionee mwenyewe ukipenda ungana na mm tukafanye utalii[emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…