Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyie ni wajinga, kwa karne hii badala mjenge international-standards stadiums, mnajenga viwanja ambavyo CCM wanamiliki Tanzania, hizo hazina tofauti na viwanja vya CCM, hizo renders zisiwachanganye, subir zikamilike ndo mtanielewa
Tazama hiki, Hata miti ni mirefu kuliko,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Angalia hiki cha chini sijui hata wanajenga nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani waarabu wanawatesa uko saudia hadi tena hao waarabu wanawaonea huruma chakushangaza hamkomi kupeleka ma bek3 huko
Hahaaa!!lini wakenya walishikwa na kurudishwa makundi makundi[emoji23][emoji23]
 
Cha ajabu ngoja akuletee picha ya hzo u/c km hujazimia, utaambiwa kiwanja hk kimegharimu kshs 500mil zen angalia icho kiwanja wallahi na ukumbuke kwamba huo co ujenzi wa viwanja vipya bali ni ukarabati tu[emoji3][emoji3]
County governments projects..
Kwhyo hata usishtuke sana
 
Pesa wanatoa wapi, af hv we komora huwa unafikiria kweli ww?
Kwn counties hazina vyake vya ushuru, we ndio hutumii akili..alafu hyo hela kila governor anatumia atakavyo kulingana na manifesto yake..
So hapo hakuna mtu wa kumpangia
 



In Ngara Nairobi, the beasts are raising. Now to 8, 20 floor towers. As the 10, 13, 15 floor towers are now at final stages.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…