joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Nchini inaendeshwa na Private sector by 80%, bila private sector hakuna maendeleo. Chukulia mfano sector ya Kilimo, uvuvi, mifugo na Madini, zote hizi zinaendeshwa na sector binafsi kwa zaidi ya 99%, kumbuka hao walioko katoka sekta ya ujenzi ambao unataka wasipewe hizo kazi, wengi wao ndio wenye mashamba makubwa, ndio wenyekumiliki vyombo vya uvuvi na mifugo, ukiwanyima kazi za ujenzi, sectors zote zitaanza kuzorota, uchumi utadorora.Ndiyo secta binafsi ni muhimu ila si vyema kuiacha inatuharibia kazi na kutupotezea muda mfano ni ndege tunge achia sekta binafsi hadi Leo tusingekuwa na midege ya maana maendeleo ya nchi ni muhimu kuliko secta binafsi mbovu
Send by APOLO 1
UwUwezo wenu wa kuelewa mambo ya uchumi ni MdogoKikubwa angesema kwamba wakandarasi wanaofanya below quality wasilipwe hadi standars zifike nzuri as required..lakini hili la kusema jeshi..ni boko cause mznguko wa hela utapungua
Naona unapata shida kuelewa..basically point ni kwamba ni muhimu private sector kufanya projects ..if and only if standards remain good...kuliko kuwapa jeshi..serikali tajiri sio watu matajiri...serikali ikipata hela kama kampuni yako haijaingiza hela ww unafaidikia nn personally..?UwUwezo wenu wa kuelewa mambo ya uchumi ni Mdogo
Miundombinu madhubuti ya uma ni muhimu kuliko hicho mnacho sema ndiyo maana serikali na uchumi wa Africa ni duni uwezi kujenga barabara mbovu kufurahisha sekta binafsi hiyo ndiyo chimbuko la ufisadi . unatumia $400mil kujenga barabara ambayo baada ya miaka mitano inakuwa imegeuka vumbi tupu
Send by APOLO 1
fedha za AfDB huwezi kujipea namna hiyo!Naona unapata shida kuelewa..basically point ni kwamba ni muhimu private sector kufanya projects ..if and only if standards remain good...kuliko kuwapa jeshi..serikali tajiri sio watu matajiri...serikali ikipata hela kama kampuni yako haijaingiza hela ww unafaidikia nn personally..?
Kama kuna private company nzuri inafanya kazi frsh ni bora kuliko kuipa jeshi
Korona kwisha habari yakesimba na yanga ni chachu ya maendeleo mpiran hasa ujazaji wa fans uwanjan... timu nyingine zifanye bidii kama hao
View attachment 1504850
Barabara mpya lakin hakuna njia ya wanaotembea
It`s on the other side. The other side was more of hills so the contractors decided to only do one side. They are now working on cycling lanes.Barabara mpya lakin hakuna njia ya wanaotembea
Apo ni sawaIt`s on the other side. The other side was more of hills so the contractors decided to only do one side. They are now working on cycling lanes.
View attachment 1504911View attachment 1504912
Wakuu naomba kujua, hivi ule mpango wa kucopy ya magogoni ndio wameutelekeza ama?
CBD facelift. Muindi Mbingu street renovation to pedestrian friendly.
View attachment 1504932View attachment 1504934View attachment 1504936
No sane person will drive at a speed of even 20km/hr in that street. So the possibilities of such incidence are close to zero. I also think there will be barriers between the pedestrians and the vehicles.good, sema mnawekaje pedestrian walkways katikati?
gari likiacha brakes dereva hana option nzuri ya kujigongesha mana kote kweny lane moja kuna watu[emoji23]