Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulikua kuna uzi wa nyimbo za zamani za Bongo Fleva. Kama kuna mtu anaweza ni quote nitashukuru.

Natafuta nyimbo hizi hapa
1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti
2. P funky ft Dully Sykes- please forgive
3. Nature ft Ngwear na KR- Msela
4. Mandojo na domokaya- Dingi

Nyimbo za Imam Abbas na Saigon

Natanguliza shukrani za dhati
 
Propaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.
Hiyo kenya land act ni makaratasi tu reality is your stupid [emoji205][emoji205]
 
Tangu lini matamshi ya msanii yakakua kiegezo cha katiba?
Kwani ukifikiria hua unaumwa na ubongo?
Wapi katiba yenu imeruhusu ikulu ya raisi kuwa geto la kuvutia bangi ? Lakini sasa ikulu yenu inanuka bangi tupu
 
Pilipili ama ukwel? So unacheka nn wakat mmepave only 10% of your entire network?usiwe fala

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Here we are in the battle and when I say Tz is doing well I mean when the term battle is concerned, all of us know it.
 
Ingekuwa Tanzania ndio inajenga hiyo expressway ungeskia venye wanjisifu hapa. So because it`s Kenya, the story has changed to showing off.
Ni kwasababu huwezi fananisha Tz na kenya kwa ss, nyie uchumi uko hovyo kwa ss huo ndiyo ukweli au unabisha kwamba uchumi wenu hauko ovyo? Watu wanafukuzwa kazi kila siku, mashirika yanafeli kila uchwao kwasababu ya uchumi kuwa mbovu, pia historia ya serikali yenu imekuwa ikiingia mikataba mibovu na ndiyo maana tunawatahadharisha muwe makini.
 
Wakenya ni wapumbavu sn ss mantiki ya kupost iyo picha ni nn? Hata kama ni kweli huyo ni mTz je kenya hamna wenye shida km hizo? Yani mmekuwa desperate kiasi kwamba mpo radhi kumdhalilisha mkenya mwenzenu ili tu mlidhike na nafsi zenu, huo ni unyama uliopitiliza, Wakenya wenye matatizo zaidi ya huyo dada ni wengi mno hata tukisema tuwapost hapa hawawezi kutosha lkn ili mjisikie raha mkaona mumdhalilishe mkenya mwenzenu poor you.
 
Nenda google zimejaa kibao
 
Tena ni uchumi na wala sio show off? Where do you stand? As for the economy, Kenya`s GDP is $100b while Tz is $62b, our budget is $30b while yours is $15b which 50% of it is funded by grants and donations. Hiyo mkataba wa Expressway mbona inawauma? Iwe mbovu or wise it`s ours, we don`t share it with Tanzania.
 
Huyo ni omba omba wa mtz who happened to be suffering from that disease by the way. Ingekuwa huyo ni mkenya na mwenye alimsaidia ni mtz mngeshafungua thread by the way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…