babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,453
- 36,096
Eti propaganda!Propaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.
Tupe meme ingineWestlands is richer than the whole of Dar
Nadhani majibu unayo sioni haja ya kukujibuHivi hii interchange na lile flyover ya mfugale ipi ni nzuri na complex? mbona hatukusikia makelele kama awamu hii? Bado sijaona kipya awamu hii na bado swali langu halijajibiwa..Toka 2015 ni mikoa gani imeunganishwa na lami za barabara kuu?
Sio SGRKenya is the only country in EAC with SGR.
Kwa hiyo na wewe kabisa unasema hiyo reli yenu ni sgrKwa kukosa hoja na kuPinga ukweli tumewazoea. Ata ungeiita cape gauge ufurahishe nafsi yako.
Utabisha ila huo ndio ukweli.Tangu lini matamshi ya msanii yakakua kiegezo cha katiba?
Kwani ukifikiria hua unaumwa na ubongo?
Kwann usingesema functioning SGR maana SGR hata Tz tunajengaKenya is the only country in EAC with SGR.
Naona umeamua kuzi crop hizo slums zenu hapo mbele
According but not reality. Hivi kenyata , moi na odinga wana asilimia ngapi ya ardhi kenya?Propaganda ya CCM naona imetamba ubongolala kabisa na kuwafanya mazuzu.
According to Kenya Land Act. Any Kenyan citizen can own land anywhere in Kenya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] c ndo apo unless otherwise the term megacity has got new meaning.kwahiyo iwe slum kama Nairobi sio? mie nataka iwe sustainable megacity!
Ukijenga mnakuanayo nyie?[emoji23] [emoji23]Kujenga ni tofauti na kua nayo
Kwani nyie tayari mmesha maliza kujenga hiyo SGR yenu au mmeisusa huko Susswa? Hata sisi tunayo SGR tayari na tunaendelea kujenga! π πKujenga ni tofauti na kua nayo
nenda ukapimwe mkojo kwanza alaf urudiPrivate property
inabaki kutoka wapi??? 70% debt to GDP ratio inabaki mapambo ndio maana mumebakia kumkopa amina kumlipa halima ππππNdo hao wameanza. Bado inabaki $100b [emoji23][emoji23][emoji23]
hio old SGR si imeishia machakani πππ hapo ndipo mchina atawaoa nyinyiKujenga ni tofauti na kua nayo
Ni zile zile hatua tatu [emoji23][emoji23][emoji23]Hv kwn Wakenya bado hawajaamini tu kwmb no covid bongo.