uehhehehe mamamee this time hamutakaa sawa kiakiliππππLink na wakati mlikua mnabwetuka wenyewe na zile zenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ngumu kumeza aisee..
Yani miezi mianane bado mradi unashindwa kupngeza hta 10%[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana kaka,ukisikia kenya engeneer ndiyo hao sasa
Hizi rangi mnawaonyesha wakenya humu,sijui faraja wataipata lini[emoji16][emoji16][emoji16].
mpanda bus stage ππππππ ww unakichaa kichwaniNyeri mji mdogo. Hii pia sio main stendi yake.
Huu pia nao ni mradi ya MCA. Ama mnavyowaita Tanzania, councillor. π π π
Mnalinganisha na stendi ya capital city ya Dodoma, mradi wa serikali kuu.
Mwache vichekesho.
ww unawazimu wa kichwa na kila siku hua nakwambia pima mkojo πππAs usual, 15 years after Kenya.
safari hii wanapata ugonjwa kisulisuliππHizi rangi mnawaonyesha wakenya humu,sijui faraja wataipata lini[emoji16][emoji16][emoji16].
Sielewi kabisa ni kama mna nia ya kuwaua kwa sonona.
mpanda bus stage ππππππ ww unakichaa kichwaniView attachment 1493494View attachment 1493495View attachment 1493496
yani huu ndio ujinga wa hawa watu yani wanahisi tanzania ndio mshindani wao ππ
tulia sindano ziingie vzr πππππMbona inakaa msikiti?
ndio mujiulize aliyewaroga nani ?? au muna laana gani ??ππππNaona bado hujaweza kuelewa sarcasim.
Huyo anasema hivo kikejeli. π π π
Sababu Tanzania pia iko kwa list ya kutoingia EU.
ww unawazimu wa kichwa na kila siku hua nakwambia pima mkojo πππ
yani huu ndio ujinga wa hawa watu yani wanahisi tanzania ndio mshindani wao [emoji23][emoji23]
kwan unafkiri tanzania ilianza leo ππππ toka 2013 tumeanza kutumia conctrete polesKenya Power ilianza kubadilisha pole za miti kwa za simiti 2005. π π π π π
hata mm naona mlianza kutumia toka 2005πππππππKenya Power ilianza kubadilisha pole za miti kwa za simiti 2005. π π π π π