Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wengi wana tabia ya kupenda kuficha vichwa vyao kwenye mchanga na kudhani wameendelea kuliko nchi zingine za Africa (hii imechangiwa na elimu yao kuwadanganya mnoo pamoja na media zao kuwajaza ujinga) kumbe wanajidanganya ndio maana wakigundua wameshapitwa kitambo wakiwa wako busy na siasa zisizoisha hubaki wakitumia chuki, wivu na ujinga kubishana humu.
 
yaani bus hazieleweki kama zinaingia au zinatoka zimekaa kaa tu hata mafungu ya nyanya yako poa yako kwenye mpangilio
 
Mkuu ngoja kwanza tuingie Middle Income kwa kishindo then Wakenya wote watakuwa washajua kwamba Tz ni baba lao ukanda huu.
 
Ile ya Dar ikiisha si watavaa chupi kichwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…