Hii ni New Mv Victoria mkuu, Mv mwanza bado inajengwa.
Mbn kuna fala humu anasema serikali ya ss haijaunganisha mkoa na mkoa hata mmoja.
Duh, Bado tuna Safari Ndefu sana, Imagine hii ni CBD yenye tallest Tower in the Region. Yale yale Developer kafanya yake ila anayehusika na miundombinu (Gvt) kazingua .
Hizi ndio sura za CBD za majiji ya Africa[emoji23]
Hivi vibanda sijui ni mitaji wa walinzi? [emoji23]
View attachment 1492109
View attachment 1492110
View attachment 1492111
Imagine Hapa ndio uso [emoji23] ( Mbele ) ya Tower mbili muhimu KCB tower na Britam Tower .
View attachment 1492112
View attachment 1492113
Umetoroka toka gerezani sio?, karibu tena kijiweni, ila uwache matusi.
Ukileta ujinga ntakutusi.Umetoroka toka gerezani sio?, karibu tena kijiweni, ila uwache matusi.
Bwahahaa!!mbna unashindwa kumeza[emoji23][emoji23]leta ushahidi mm nifunge acc jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hku mwanaoa akipata offer ya kusomea kenya wenzake kitaani watamuonea gereHapo ndiyo hutaona tofauti ya elimu ya Kenya na Tanzania
Sant kayumba vs sant slave Kenya,
Sant slave ni kingereza kingi Ila kichwani hakuna kitu zaidi ya kuabudu mzungu