Ile ya Mbezi itakuwa ni noma alfu ..kulikuwa na pla ya Dar kuwa na Stand 3 kubwa za mabasiWakenya oneni Middle Income tulipofika, komora096 angalia bus stand zetu zilivyo hata JKIA haigusi, kuna nyingine funika bovu ya mbezi soon tutaizindua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Hii bus terminal iko vizuri.Dodoma bus terminal.
Tunaingia middle income kwa gia kubwa
Wameshtuka truck drivers wa Uganda kuanza kuhamia central corridor! Mbona wasiendelee kung'ang'ania kusafirisha mizigo Naivasha na garimoshi ati?Dar port & TZ-SGR zinawajambisha balaa.. usiku hawalali vizur [emoji23]
watanzania tunajenga nchi huku nyangau wanagombania kwenda ulaya hahahahahahaWakenya oneni Middle Income tulipofika, komora096 angalia bus stand zetu zilivyo hata JKIA haigusi, kuna nyingine funika bovu ya mbezi soon tutaizindua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Dar port & TZ-SGR zinawajambisha balaa.. usiku hawalali vizur [emoji23]
Tanzania tulichokozwa na idiamini kujeshi kukashinda vita wakenya wametuchokoza vita ya kiuchumi na yule ng'ombe tasa wao "COW" tunawapiga KO wamesha gundua tz ni muziki mzitoWameshtuka truck drivers wa Uganda kuanza kuhamia central corridor! Mbona wasiendelee kung'ang'ania kusafirisha mizigo Naivasha na garimoshi ati?
Let me take this opportunity to urge my fellow countrymen not to be ashamed ourselves of declaring our MOST beloved country as MIC.
leta ushahidi mm nifunge acc jamii forum 😂😂😂😂Bwahaha!!last year ilikua 75%[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hyo unashindwa kumeza aisee
Hapo ndiyo hutaona tofauti ya elimu ya Kenya na Tanzania
HAHAHAHAHAHHapo ndiyo hutaona tofauti ya elimu ya Kenya na Tanzania
Sant kayumba vs sant slave Kenya,
Sant slave ni kingereza kingi Ila kichwani hakuna kitu zaidi ya kuabudu mzungu
hahaha ohh sisi tunajenga lamu white elephant 😂😂😂😂
Waone vizuri hizo nyaya