Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sitaki hadithi nataka utekelezaji,Magu ana jipya gani ambalo wengine hawakufanya? hizo pambio muimbage huko chumbani kwenu
Hahaha,kaka mbona una hasira na JPM?! Inaonekana wewe ndio mmoja alowapiga dole alafu akakupa unuse,ndio maana uko frustrated naye,pole ndugu,hii dunia nikuvumilia tu hakuna namna.
 
WB: Tanzania is officially going to be a middle income country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Hii ni habari nzuri na kubwa sana. Hongera uongozi wa nchi yetu chini ya Jemedari mkuu Dr. John Magufuli na wananchi wote wa taifa letu.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
WB: Tanzania is officially going to be a middle income country [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Tunazika kingine tena soon, zile ohhh Mombasa ina millionea kuliko Tanzania yote tupa kule[emoji23], Soon LDC tupa kule. Tunabaki na Jee dee Pee [emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…