Basi utaniingisha ki sniper bro., deal?its hard bro mark my words sahivi mambo magumu sana

biashara ni connections na watu., have u seen drug trade vile cartels wanacheza huo mchezo, they employ good principles za international networking ila biashara yao ndio mbaya., we can employ same principles. Wewe uko na product mimi naisambaza kote kote, Kila mtu anapata cut yake. Niko sure the guys who bought the minerals watafaidika zaidi mara mia.Kuliko ukamatwe ukitorosha madini afadhali ukamatwe na madawa ya kulevya.its hard bro mark my words sahivi mambo magumu sana
yani kabisa maana madini chuma kiko nje njeKuliko ukamatwe ukitorosha madini afadhali ukamatwe na madawa ya kulevya.
awamu hii iko tight hakuna mchezo kabisa bro 😂😂😂😂😂Basi utaniingisha ki sniper bro., deal?biashara ni connections na watu., have u seen drug trade vile cartels wanacheza huo mchezo, they employ good principles za international networking ila biashara yao ndio mbaya., we can employ same principles. Wewe uko na product mimi naisambaza kote kote, Kila mtu anapata cut yake. Niko sure the guys who bought the minerals watafaidika zaidi mara mia.



what are the charges ukikamatwa na madawa ya kulevya ukilinganisha na kukamatwa na madini?.,
Kuliko ukamatwe ukitorosha madini afadhali ukamatwe na madawa ya kulevya.
tafuteni hela kwanza 👇👇👇what are the charges ukikamatwa na madawa ya kulevya ukilinganisha na kukamatwa na madini?.,
Sema 500 mabillionaires ama 500 dollar millionaires!tumefunga lock sahii hakuna janja janja 😂😂😂😂 mining itatoa mamilionea 500 kila mwaka tulieni muone game likichezwa
LOL bigger ipi? 4300? 😂😂😂😂Kama sisi ni 10% na what we have is bigger than yours almost 2 times, and considering the size of our country, basi kiukweli yenu itakua less than 5% of your country. Basi muache kupiga kifua ovyo ovyo., in Africa do you know which countries have more road networks and connectivity? (All types of roads), fanya utafiti kisha weka hapa list na source, tuone ukweli, si porojo na wishful thinking ambao wenzako humu wanapenda, denying reality and screaming facts to please their wishful thinking.
Uliza Jaguar akueleze kinachoendelea sasa Gikomba! Msije mkalia tukianza kuwajibu!Wacha propaganda za roho mbaya zako wewe, unalazimisha chuki zisizo kua na msingi mwafaka ni porojo tu, umefuatilia taarifa ukaona ni biashara za watanzania zimechomeka peke yake?., kwanza pale watanzania ni wachache kama wako., I hardly see them in Gikosh, wengi nawapata Eastleigh wakiuza vitenge sana sana, na wengine ni hawkers apart from boda boda riders kwa estates.,
Zile za Jagua zilikua siasa zake za kifala., si alishikwa na polisi wa Kenya ajibu mbona katoa matamshi yake ya uchochezi, sidhani Tanzania inaweza kushika mtanzania akifanya vile, ni kama China tu, mchina akikosea mgeni hawezi shtakiwa, he has rights than a foreigner.., sasa wewe stop cherry picking a past event to use it to interpret what has just happened, contexts ni tofauti.,Uliza Jaguar akueleze kinachoendelea sasa Gikomba! Msije mkalia tukianza kuwajibu!
Huwezi kuingia mining site bila kuwa na national IDmi mkenya hamuniwezi., ngoja muone![]()
LOL bigger ipi? 4300? 😂😂😂😂View attachment 1488495
hata huyu alikua akiikimbizia Kenya tena juzi tu, kimemtokea hikimi mkenya hamuniwezi., ngoja muone![]()