Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Have a look also.......uozo juu ya uozo
Utasema nguruwe ndio wanaishi
 
from today i will be posting and reposting photos of kibera and mathare slums.

i will be screen-capturing recent
photos that have been shared by people in facebook.

our readers/viewers will get the opportunity to see the real and current hood life of the nairobi slum.

watu wangu naenda kuliamsha "dude".
El Matador jipange vizuri.[emoji23]
 

Kazi kwako!!
 
Manze jibambe
 

Poleni wa Kenya ila inakuwaje jengo kama ili linakuwa Nairobi
Karibu watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Jumanne, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

Shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya, liliandika kwenye mtandao wa twitter kuwa makundi ya uokoaji yako eneo la mkasa katika kijiji cha Kware Pipeline mtaa wa Embakasi.

Gazeti la Star nchini Kenya lilisema kuwa watu kadha waliokolewa kabla ya jumba hilo kuporomoka.
 
hilo eneo HAPO KATIKATI ndio la watembea kwa miguu kwa jiji la kimataifa kama nairobi? NOT FRIENDLY STREETS TO PEDESTRIANS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…