Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mmeiona hii habari??
hii barabara for almost 30 years kumbe sio yao.. dadeki ama kweli kenya ni shamba la bibi kwa wachina.. they also to make a profit of almost $1.1 billions
Do you understand what PPP is? That`snot the fisrt PPP project in Kenya.
 
mmeiona hii habari??
hii barabara for almost 30 years kumbe sio yao.. dadeki ama kweli kenya ni shamba la bibi kwa wachina.. they also to make a profit of almost $1.1 billions
Hahahaha kumbe ndio maana kuna nyang'au jana alileta picha ya the most expensive road ya Uganda kumbe na wao ni zaidi [emoji3][emoji3]
 
mmeiona hii habari??
hii barabara for almost 30 years kumbe sio yao.. dadeki ama kweli kenya ni shamba la bibi kwa wachina.. they also to make a profit of almost $1.1 billions
Hapa Wakenya watajisifu kumbe ni upuuzi wa hali ya juu, yn hawashangai hata hao wazungu wanaowashobokoea hawafanyi blunder km hz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…