Hebu uwe unaleta habari zinazoeleweka, unaleta habari ambayo mwandishi hajui hata annual growth rate ya dar ni kiasi gani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Housing in Dar es Salaam out of reach for the millions that need it
Oh we build our houses nonsense. those ugly shacks which most Tanzanians call houses are globally not suitable for a normal human being. ....
Kwa nini sisi tuwafuate,kwa nini wao wasije jamiiforum,,hatuezi kujipendekeza kama nyie.Sisi tunajivunia jamiiforum na wao wanajivunia nairaland!Nairaland? Akili yako imezoea kutawaliwa na nchi nyingine tu! Unashindwa hata kuongelea JamiiForums.com ya hapo kwenu unafanya promo ya forum ya wanaijeria?
Nenda tu uuze sura kwenye forum za wanaume wenzio wakucheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dar vs Lagos on Friday. ....no delay
Tumewapa nafasi ya miji yote and cities in Kenya bring them all na mshindane na only DSM , sasa naona mmezidiwa ni kuleta miji ambayo ipo nchi zingineDar vs Lagos on Friday. ....no delay
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Huko wanakaa wakenya ambao ni wazee wa kushoboka! Eti mtu anajitapa hapa eti no delay[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini sisi tuwafuate,kwa nini wao wasije jamiiforum,,hatuezi kujipendekeza kama nyie.Sisi tunajivunia jamiiforum na wao wanajivunia nairaland!
Tumewapa nafasi ya miji yote and cities in Kenya bring them all na mshindane na only DSM , sasa naona mmezidiwa ni kuleta miji ambayo ipo nchi zingine
Mlianaza Rwanda , Uganda pote tukawa chapa viboko sasa mnaenda Kuleta miji ya Nigeria
Humiliation ya kuishi kwenye dormitory , ni Kali sana how can you live with the family in dormitory
Ipo painful sana but ni maisha vumulieni na jipangeni mbadili sheria ya ardhi
That why Dar is unique and beautiful ever, no domitory Good city and happier people. Yaan tunaishi kwa dream zetuuuuAbuja, Ibadan, Lagos apartments zimejaa..
ndio maana Dar ni ugly...kila mtu anajenga vile anataka..no rules
Huko wanakaa wakenya ambao ni wazee wa kushoboka! Eti mtu anajitapa hapa eti no delay[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
That why Dar is unique and beautiful ever, no domitory Good city and happier people. Yaan tunaishi kwa dream zetuuuu
Yaan mwanaume yeyote bila Nyumba yako hunatofauti na Demu, hakika Kenya wanaume hawazidi 1000 Mingine itakuwa mijike tu.Sema shacks....ati houses.
Kwa nini sisi tuwafuate,kwa nini wao wasije jamiiforum,,hatuezi kujipendekeza kama nyie.Sisi tunajivunia jamiiforum na wao
blah...blah. ..blah
Dar is slum jameni.....top 10 poorest cities! !!!!!!....poleni.Nitawaletea Mandera town hapo mtajaribu
Wewe bwana mdogo, umejoin hapa hii thread ikiwa imeashaanzishwa, wakenya wenzio ambao ni nguli wameukubali ukweli na kuondoka wakakimbilia kuanzisha uzi mwingine ambao pia wamekalishwa chini!Dar is slum jameni.....top 10 poorest cities! !!!!!!....poleni.Nitawaletea Mandera town hapo mtajaribu
Yaan mwanaume yeyote bila Nyumba yako hunatofauti na Demu, hakika Kenya wanaume hawazidi 1000 Mingine itakuwa mijike tu.
Welcome newbie!How do you access that dingy city of yours honestly. ...wah...!.....fungeni internet mjenge Dar yenu angalau I change sura
Rais amewapa maagizo wakuu wa mikoa kukamata mashamba ambayo hayajaendelezwa na kuyagawa kwa wananchi
Karibu Tanzania maali ambapo wananchi wanagaiwa ardhi ma bwanyenye machache yana nyang'anywa
Hakuna humiliation za kuishi dormitory
Unakataa kishingo upandeNo thank you.