Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna zile account za twitter na instagram zilikuwa busy kueneza uwongo kuhusu Tz kwenye janga la corona hadi media za kunyaland zikafanya source za habari zao mbona siku hizi zipo kimya!

What happened.

hawa jamaa mpk wakanifanya nizibookmark tweet zao za namna hii.. sijui nilikuwa nina lengo gani ila nilizibookmark.. ngoja niziremove maana hazina maana tena [emoji23][emoji23]
 
Kwenye suala la umeme naona kabisa tunaenda mwendo mzuri...izo 5000MW yanawezekana zikapatikana before 2025

Kila nikiwaza RSA Wana 50000MW na haziwatoshi naona kabisa kazi bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…