Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo list hapo juu inayoiweka JKIA namba 7, inamaanisha nini?
 
Be serious Unatuletea habari za mwaka jana
 
Hapa wangetumia Kiswahili kutofautisha connectivity na other factors. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unahisi kuna tofauti kati ya busiest na connectivity?, tunaomba ufafanuzi Tafadhali.

Hata hivyo ninapata wasiwasi kwamba JKIA na Bole Ethiopia zinaweza kuizidi Rabbat International Airport ya Morocco yenye kupokea zaidi ya watalii 10M kwa mwaka.

Hii list inayoonyesha kwamba Ethiopia na Kenya wapo nyuma ya Morocco ndio yenye uhalisia hasa ukiangalia idadi ya wageni wanaotembelea Morocco na Algeria kwa mwaka.
 
Kwani wote wanapitia airport ama kuna cruise ships., and do they have one airport? Besides kwani wasafiri who pass through an airport ni tourists pekee?., Hili unalifahamu vizuri sana, wewe si zuzu ni wivu inakusumbua tu[emoji23], hutaki kuona Kenya inafanya vizuri., meza wembe.
 
Hiyo list hapo juu inayoiweka JKIA namba 7, inamaanisha nini?
What is the difference between connectivity(kuunganishwa njia ya mataifa tofauti) na busiest?.,
You can connect to varuous destinations from a specifi airport directly, kwa mfano kuna nchi hauwezi fika kutokea Entebbe International airport Uganda lazima ufike Nairobi ndio u connect., kitambo haungefika moja kwa moja USA from Nairobi, lazima ungepitia Bole, Oliver Tambo, ama uende Heathrow for connection..,

What is the connectivity ya JNIA?., unaeza fika mataifa ngapi moja kwa moja kutokea Dar?
 
Tatizo lenu hamtaki kukubali challenge na kuzifanyia kazi badala yake mnajipa matumaini ya kijinga. Ungejiuliza kwanza hao watalii wa Morocco, Algeria, na Tunisia hutumia njia ipi na viwanja vipi au ni kiasi gani wanatumia njia ya Bahari.

Kwani watalii wote wanaokuja Kenya, au wasafiri wote hupitia JKIA pekee, kuna Mombasa na pia kuna wabaotumia bahari, mbona unahisi sio wasafiri wote wanaokwenda Morocco wanatumia uwanja wa Rabatti, lakini unahisi wasafiri wote wanaopitia Kenya lazima wanapitia JKIA, huu ujinga wenu wa kupenda kujisifia bila kufikiria kwa undani ndio unasababisha kushindwa kudhibiti Corona inaingia hadi Ikulu.
 
JKIA ina connectivity kubwa pia., watu kutoka nchi mbali mbali from sub-saharan Africa amboa sio watalii pia wanapitia pale., so wewe unafikiria JKIA iko chini?., utafiti sio mimi nimefanya, what is itching your ass about JKIA being ranked fourth by an independent body?,
Haja yako ni Kenya iwe chini, ama uone anything bad or negative ndio raha yako, hauna hoja hapa, ni wivu na kinyongo inakusumbua[emoji23][emoji23]
haya basi tuseme JNIA has more connectivity than JKIA and is now the busiest in EAC than JKIA., yeah maybe, it should be so.
Let's assume it is so[emoji23][emoji23],
 
I support miti shamba, herbal medicine is the way to go, especially for Africa, unfortunately corporations with interests in pharmaceutical will fight it, using propaganda and sabotage., the way they attacked what Madagascar came up with.
Tatizo co pharmaceutical industry, bali ni viongozi wa juu hapa Afrika ndio wanaoshirikiana na hzo pharmaceutical industries to despise herbal medicines, cc huku kwetu tunamshukuru Mungu ametupa kiongozi jasiri na mwenye kusema ukweli hadharani, na hyo imetusaidia kuipiga hii covid-19, lkn nikwambie kitu ndugu, hakuna ugonjwa unaoshindikana kwa mitishamba, mm mwenyewe shahidi kwa macho yangu mawili, nmeona watu wakipona magonjwa ambayo hospitali za mzungu waliambiwa hakuna tiba, lkn wakapona kwa mitishamba.
 
Mkuu itakuwa poa sana, natamani kujua hizo dawa za mitishamba, binafsi naziamini sn, yn mm kwa kawaida km naumwa ugonjwa wwte ule zen nkajua kuna dawa za herbs za kutibu ugonjwa natumia hyo kuliko hii midawa ya hospitali, ni mda mrefu ss situmuii hyo midawa yao, hata panadol tu huwa czemi labda iniladhimu sn.
 
So ukifungua uzi usisahau kunitag mkuu.
 
Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…