Propagandist gov't. [emoji23][emoji23][emoji23], but they are trying ata kama wanahema, applaud them leo., they like believing wako level moja or above Kenya, give them that wapate amani, it won't change the truth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa higher angesema mko above 13k. But because you are below that number, ameround off the numbers to the nearest thousands to look better. So as of now you are still below 13k.
Tumia lugha yako ya Taifa, wachana na mawazo ya kikoloniArgument yenye imechoka sana[emoji23], tafuta taarifa negative on Kenya ya ku post Kenyan news section to make Tz feel better wacha kelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania's mentality in Africa
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 1481222
hii ndio sign board 😂😂😂😂 nani atakaeamini kwa akili yako weweMakasiriko acha nani. Hii barabara ikiisha uje upige selfie hapa sawa?
View attachment 1481196
CCM ni chama cha siasa, ni uamuzi wako kujiunga au kutojiunga. Huko kwenu ukabila ndio umewatawala huwezi kubadilisha kabila. Hivi inaingiaje akilini kwa mtu aliyepata elimu lakini bado anapiga kura kwa misingi ya ukabila?Nyie ndio wapumbavu kupindukia[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya mkoloni kuondoka u are colonized by CCM kishenzi, both body and soul(mind), wangekua na uwezo wangeshika na spirit zenyu, ila mwenyezi Mungu na hekima yake isio kua na kipimo ni mwema sana! ndio maana wanyenyekevu kwake wameona mwanga na wanakombolewa, can't be fooled, they can read in between the lines, dissecting propaganda from reality. Na ni wachache mno! The rest tabu tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uhehehher go on showing us renderVery good, that simply mean that you don`t know.
No sidewalks no tarmac[emoji23][emoji23], tutafika tu usijali[emoji23][emoji23]Nairobi haiwezani na dar,yaani vitu vilivyofanyilika dar zamani ndo vinafanywa leo nairobi,Dar es salaam sidewalk zipo hadi kwenye streets,hiyo ni yombo
uhehhehe leo umeumia sana 😂😂😂 13k+2k mamaeeeeLess than 13k. Hata Uganda is ahead of you.
😂😂😂😂😂 kachanganyikiwa huyo haaminiTukubaliane na wewe story ziko nyingi maana tunaweza zungumzia ili jambo hadi mwakani uwezo Huo unao. ..leta taarifa za Uganda
😂😂😂😂👏👏👏👏👏Approximately 13K, that means an average, less or higher. Kwanini unachukua less na kuacha higher side?, to be fair, just take exactly 13K.
hahaha bado miaka 5 ijayo inawasubiriHapo Dodoma Govt city roads and ring roads hazijaanza!
hahaha 😂😂😂 unajua ameshangaa sana alaf kaumia sanaNimemwambia kiswahili inaonekana kuwa nzito kwake
Hiyo ni tabia ya wakenya kupenda kujikweza, huku kwetu hatuna tabia hiyo, hata ninyi wakenya mnajua kwamba "Tanzanians are humble and genuine people".Ingekuwa higher angesema mko above 13k. But because you are below that number, ameround off the numbers to the nearest thousands to look better. So as of now you are still below 13k.
😂😂😂😂 wamebakia kurusha mapovuLikoni ambayo iko kwenye paper, tena kwenye madaraja tumewaacha mbali sana hawathubutu kabsa, uko tunavunja record zetu wenyewe
Tumia lugha yako ya Taifa, wachana na mawazo ya kikoloni
Lugha, mavazi, vyakula, na ngoma ni utambulisha wa jamii husika, huwezi kwenda kwa wajaluo ukakuta wanazungumza kikamba hata kama wanakijua vizuri, huwezi kwenda Uingereza ukakuta wanazungumza kijerumani wenyewe kwa wenyewe labda awepo mjerumani asiyefahamu kiingereza.Language sio mentality, enyewe wewe ni punguani, linguistics has no bearing on reasoning, ata uzungumze Kiswahili mufti, ama French ilio simama, ama uongee queens language sawa sawa(kizungu), kama wewe ni fala u will propagate your stupidity in a clear way in whatever language u choose[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuyaache haya kaka., let's move on...
Serikali ya ccm inataka raiya kama watanzania ili itawale milele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni tabia ya wakenya kupenda kujikweza, huku kwetu hatuna tabia hiyo, hata ninyi wakenya mnajua kwamba "Tanzanians are humble and genuine people".
Lugha, mavazi, vyakula, na ngoma ni utambulisha wa jamii husika, huwezi kwenda kwa wajaluo ukakuta wanazungumza kikamba hata kama wanakijua vizuri, huwezi kwenda Uingereza ukakuta wanazungumza kijerumani wenyewe kwa wenyewe labda awepo mjerumani asiyefahamu kiingereza.
Sisi wote hapa tunaelewa Kiswahili vizuri na wote Kiswahili ni lugha ya mataifa ya Kenya na Tanzania, wewe hicho kiingereza unamlenga nani, wacha upumbavu wako.
Message sent and delivered, achana na utumwa.Uko down[emoji23][emoji23][emoji23].,