Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Wanataka kupanda maua hapo,we unajodanganya eti expressway!!ichoboy01 bado unangoja sign board ya Expressway? π π π . This will be the longest elevated Expressway in Sub-Sahara Africa.
View attachment 1480797
Nafasi ipo ilo litazingatiwa plus taa na mitaro ya kufunikwaWasusahau njia za wapita kwa miguu maana same time tunajengaga upumbaavu ni kumwaga lami tu basi
Will be when?subiri iishe kwanzaichoboy01 bado unangoja sign board ya Expressway? [emoji23] [emoji23] [emoji116] . This will be the longest elevated Expressway in Sub-Sahara Africa.
View attachment 1480797
ππππwaanze kujenga kwanza
Kisaikoloji unaonyesha kuumia moyoni baada ya kuona hiyo shule hiyo ndiyo inaitwaga " naked truth "
Ila NAKUPONGEZA KWA KITU KIMOJA nacho ni kuwa na uwezo Wa kuangalia hata hiyo video maana kwa mkenya kuweza kutazama video you tube ni nadra sana hivyo nakupongeza wewe ni mmoja wa maslumist wachache wenye kumbudu internet cost
Kisaikoloji unaonyesha kuumia moyoni baada ya kuona hiyo shule hiyo ndiyo inaitwaga " naked truth "
Ila NAKUPONGEZA KWA KITU KIMOJA nacho ni kuwa na uwezo Wa kuangalia hata hiyo video maana kwa mkenya kuweza kutazama video you tube ni nadra sana hivyo nakupongeza wewe ni mmoja wa maslumist wachache wenye kumbudu internet cost
Tumia Kiswahili wewe, wachana na mawazo ya utumwa "slavery mentality"I like your(Tanzanians) deceived/erroneous perception influenced by subjective look at things; "my mother is the best cook in the whole world" mentality. Hapa ni vioja tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Open a thread to justify your beliefs, utapata taabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in matters education you don't want to know[emoji23][emoji23][emoji23] I like your reasonings here, entertainment tupu[emoji23][emoji23]Usijidanganye shule za serikali za tz ni bora mara 10 ya zakenya ,maana nyinyi pimbi za Kenya kwa ubishi wa kipuuzi amjambo
Tumia Kiswahili wewe, wachana na mawazo ya utumwa "slavery mentality"
Habari kamili!! View attachment 1481056
Inakaa zile procurement zao za kimagumashi contractor na consultant wanajua wanachofanya na kujilinda dhidi ya public scrutiny! Mradi ukikamilika hamna wa kumbana! Kiuhalisia good contractor n consultant r always proud to market their work!Siku hukijua kwanini construction board ni ngumu kuonekana kama IPO basi Italia sana ,sababu ni ufisadi ulio nyuma ya huo ujenzi mnajengewa kitu lower quality baadae mkija kugundua ajulikani ni Nani aliye jenga mnaanza kuchanganyana Pesa isha pigwa
Kuna mapimbi walikuwa wanaleta ubishi wa kitot juu ya hili swala...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari kamili!! View attachment 1481056
Signboard itakusaidia na nini? What you have to know construction is going on even though inakuuma hivo.hakuna kuzungusha mada wapi sign board Siku utapata mm nafunga acc jamii forum nje hapo tuonesheni render