Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We’ve never defaulted on loans,a bigger economy can borrow more!
Since when did you talk facts always blablabla..nothing special at all....at the sametime IMF give you alert about over burden of debt[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...
 
Magu hajawahi fikiria kenya, the guy has his own dream to have Tz look like African Europe, kwnz km hujui Magu anaidharau sn kenya, haamini kama kenya ni nchi huru inayojitegemea.
Acha uongo dogo, magu ana mafeelings sera yake kubwa ni kuenda sambamba na kenya..
Na akiendelea hvo itabidi akope siri siri zaidi ndipo afikie tulipo sai

1.Terminal 3 kajenga ili kujibu jkia,
2.Sgr ana force vile vile, kaamua kujenga ya umeme ndio yetu ionekane ya ovyo lkn bado inapumulia.
3.Kibaka ni kw ajili ya thika,
4.Ubungo kajenga kisa kujibu flyovers za kenya.
Yani the list is endless..
 
Aliyekwambia terminal 3 kajenga Magu alikudanganya, pia Magu kawaiga kwny ujenzi wa bwawa kubwa la umeme EA, kawaiga kwny MGR rehabilitation cz hata nyie mshawahi kuifanya MGR yenu iwe ya kisasa yenye speed over 70km/hr, kawaiga kujenga BRT phase 2 and phase 3, yn Magu anaiga kenya kila kitu hata kukopa kopa, anaiga kupambana na rushwa na ufisadi, anaiga kenya kujenga mji wa kisasa zaidi EA wenye white house yny eneo kubwa kuliko zote duniani [emoji3][emoji3] Magu bhn yn anaiga mpk kuomba misaada ya chakula, juzi tu hapa katoka kumuiga Uhuru jinc ya kutumia magonjwa kuomba pesa za misaada [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Corona imewaachia bonge la economic damage.

Ngoja sisi tupete huku tukiwekeza kwenye uchumi imara

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 


Stop being stupid.

The construction of terminal 3 begun during Kikwete's time.
 
ujenzi wa oxygen production plant


stay updated... naleta miradi yote inayotekelezwa au inayotazamiwa kutekelezwa Tanzania

nitaanza na mtandao wa reli... kuna reli wanataka kujenga kutoka CBD mpka kigamboni kupitia nyerere bridge
 
Since when did you talk facts always blablabla..nothing special at all....at the sametime IMF give you alert about over burden of debt[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]...
Like I said you don’t have a clue about anything,headless chickens 🐔!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…