Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sio mbili tena zimefika tano
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Wakenya hawawez kujua kwasababu tumejenga mji kimya kimya ndio maana leo munastaajabu kuona kila kitu kimebadilika ndanj ya miaka 10 tu
kama.....
 
kwa ivo mulipata uhuru wenu miaka kumi iliyopita?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sio mbili tena zimefika tano
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Wakenya hawawez kujua kwasababu tumejenga mji kimya kimya ndio maana leo munastaajabu kuona kila kitu kimebadilika ndanj ya miaka 10 tu
We we kuelewa shida dar iko na tower mbili refu na yenye architectural design mzuri....mbili pekee TPA(designed in Kenya) na PSPF(likely designed outside Tanzania)
 
hahahahahahaaa.... kweli 'Maji Maji' si uongo.... umeisoma yote au umekurupuka tu?
saa zingine ni vyema kunyamaza rather than kujiaibisha
U know the concept there?????
Dar is ahead of nairobi in real estate of about 3 billion usd
 
Fungua usome yote na u Google maana ya lucrative... Ama acha nkusaidie lucrative ni most profitable
Hahahhahaha private inamaanisha more buildings of nairobi are owned by investors πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na niliwah kukwambia buildings nyingi nairobi zinamilikiwa na investors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…