Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Katika wakenya vilaza we ndo unaongoza aisee,yaani wewe hata teargas umemzidi kwa umbumbumbuKujeni muone huyu nugu[emoji23][emoji23][emoji23]
We ndio kumbe hata hujui internet speed ni nn haswa..elimu ya bongo vituko kweli..
Storage facilities zipo!Wanateseka sana. Ndiyo maana wameanza kuleta mizinguo kule mipakani ili mazao ya chakula yakose soko.Hawajui kwamba hapo ndiyo wanatupa mwanya wa kutunza chakula ili njaa ikiwakamata sawasawa tuwatwange vizuri zaidi.
ESTIM balaa mzeeKInachonifurahisha ni kwamba hawa ni local constructors which means hiyo pesa inarudi kwa waTanzania. Na wakimaliza hapo wataendelea kupewa madili mengine ikiwepo kuupgrade barabara
Nilidhani UK[emoji3][emoji3]
Yeah wako vizuri..alfu Bei ndogo kuliko njeESTIM balaa mzee
Swala linalofanya makampuni ya nje kutupiga bei kubwa ni kutokana na wanachokiamini kuwa Africa ni shamba la bibi na kwamba sisi hatuzijui operation costs za technology wanazotumiaYeah wako vizuri..alfu Bei ndogo kuliko nje
So magari ya Oysterbay tu ndo yatapita hapo? Wacha lugha za kipuuzi!Wale matajiri wa Oysterbay huu Mradi ni wao 100%
Hta ukitukana ukweli utabakia pale paleKatika wakenya vilaza we ndo unaongoza aisee,yaani wewe hata teargas umemzidi kwa umbumbumbu