Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo achana naye, hata android ilkua hajui ni nn mazee..nadhani ulisoma comment yake
Unajua ww ni mpuuzi sn, humu tulio wengi tunatumia either PC, DESKTOP au smartphone kuingia humu Jf, ss kwny hzo devices nlizokutajia nnaposema Android ni lazima ujue namaanisha nn cwez nkasema natumia android zen akili zako ziende kwenye tv hayo yatakuwa matumizi mabovu ya fikra au kutaka kupata attention kwa watu wakuone unajua mambo kumbe ni empty kichwani.
 
Sawa android
 
Huyo achana naye, hata android ilkua hajui ni nn mazee..nadhani ulisoma comment yake
Mimi niligive up na yeye wakati alisema kuwa internet speed inadepend na type of phone somebody is using.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…