Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I like this era of youtubers. No filters, yani vitu real kabisa. Here are videos of Nairobi CBD and Dar CBD. The difference is like day and night, look at the cleanliness and planning of both CBDs. Anybody that is comparing the two cities is mad.

1520 TSH at 21.74 exchange rate ni sawa na 70 Kenyan Shillings. Unaweza fanya hayo uliyosema na 70 Kenyan Shillings?? sijui Huko Gorofani kama pako sawa.
1520 kenya unafanya hayo yote aliyokuandikia
 
Nilijua tu atatokea mjinga atakuja andika pumba kuhusu hilo[emoji23][emoji23]
Youtubers bado wataendelea kuwaumbua tu jomba..
Yani hzo videos zimechukua kila kitu[emoji122][emoji122]
Tofauti ya Nairoba na Dar ipo tena kubwa sana, hzo videos alizoweka uyo mpuuzi cjaangalia cz najua Dar cku zote ina majengo mengi kuliko Naipori km unabisha angalia.
 
Tofauti ya Nairoba na Dar ipo tena kubwa sana, hzo videos alizoweka uyo mpuuzi cjaangalia cz najua Dar cku zote ina majengo mengi kuliko Naipori km unabisha angalia.
Sasa unajibu kitu ambacho hujaona[emoji23][emoji23]
Sema tu huna bando
 
Nilijua tu atatokea mjinga atakuja andika pumba kuhusu hilo[emoji23][emoji23]
Youtubers bado wataendelea kuwaumbua tu jomba..
Yani hzo videos zimechukua kila kitu[emoji122][emoji122]
Umeona venye CBD yao ni chafu bila filters? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Umeona venye CBD yao ni chafu bila filters? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sijui unaongea nn wewe jamaa..hujui ubora wa picha unategemeana na ubora wa camera iliyotumika...au flyover imewachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…