Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ss kenya tukawekeze nn, wananchi hawana pesa, nchi kame, tukawekeze nn ss.
Hiyo nchi kame iko na uchumi kubwa kuwaliko. Hiyo nchi kame ina middle class wengi kuwaliko. Hiyo nchi kame iko na matajiri wengi kuwaliko. Niendelee?
 
Wapi jibu amepata? Hata mimi nangoja hiyo siku itahandle hata 3m. Yeye anangoja 7m which is namba kubwa sana which is a dream to you. I'm only waiting for 3m.
unajua sababu ya terminal 3 ???
 
Nimemwaambia siku JNIA itapata 3m pax asikose kunitag[emoji23][emoji23]
Mwaka huu watatoa report ilihudumua pax ngap. ..ilianza kuhudumu last yr at Aug. ..uwezo wa terminal3 ni 6million pax. ...terminal zilizobaki zinauwezo wa 2.5M maximum....

Ikitokea imejaa at full capacity ni pax 8.5M kitu ambacho kwa sasa bado kufikia
 
Hizo story mob sitaki kusikia. Nimesema siku JNIA itahandle 4m msisahau kunitagπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushabiki ni mbaya jamani. [emoji23] [emoji23] kwa hivyo hapo Umehesabu ukipata tu 30!??? Hebu hesabu vile Teargas alivyofanya tuone hizo 30 zako
Wacha kujifanya mpuuzi, mwenzako keshakula dozi kakausha, rudi juu usome tena.
 
The question is how many it handles as at now, not projections. All airports have capacities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…