Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mjinga mwingine hapa hajui tofauti ya Capacity na PAX.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo kilaza wao haelewi chochote kama kawaida. Yeye bora ameongea na kusema atafunga account jf
 
Ndio usisahau pia wakenya waliowekeza tanzania ni wengi kuliko nyinyi hku kenya..

Kwhyo kabla uanze kuumia, meza dawa tu upunguze maumivu..
Manake km ni ishu ya kuwwkeza ea yote wakenya wamewekeza hadi wanawanyelea watu wa central afrika
Ss kenya tukawekeze nn, wananchi hawana pesa, nchi kame, tukawekeze nn ss.
 
Maamaeee, yn kweli mm noma nimehesabu kawaida tu bila chenga af ikawa kweli, hii niliona ina 29 baada ya kuweka namba inaonekana ni 30, na hili ni refu kuliko yale mengine haya leta yale nayo [emoji3][emoji3]
Ushabiki ni mbaya jamani. πŸ˜‚ πŸ˜‚ kwa hivyo hapo Umehesabu ukipata tu 30!??? Hebu hesabu vile Teargas alivyofanya tuone hizo 30 zako
 
Ss kenya tukawekeze nn, wananchi hawana pesa, nchi kame, tukawekeze nn ss.
Bwahaha!!imekuuma kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanatoka overseas na wanakuja kuwekeza kenya katika hao hao wananchi ambao hawana pesa wenye hyo ardhi kame
 
ndugu yako kaulizia akapata jibu umedandia treniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapi jibu amepata? Hata mimi nangoja hiyo siku itahandle hata 3m. Yeye anangoja 7m which is namba kubwa sana which is a dream to you. I'm only waiting for 3m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…