Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hii ya mwenge ilidelay kutokana na BRT since mabey bridge moja ni risk kuweka lanes zaidi ya mbili. Ili kufanikisha hilo inatakiwa walaze three bridges parallel
Mfugale flyover ni Mabey bridge/overpass! Sikuelewi unamaanisha nn? Ina maana nafasi yote ya Mwenge Mabey flyover haitoshi pale? Nafasi kubwa sana pale Mwenge junction!
 
Media za kenya ni trash. ..
 
Hawa jamaa kwa kupuyanga hawajambo.
 
Mfugale wamelaza mbili, kwa ishu ya mwenge inabidi zilazwe tatu kwa ajili ya BRT
Kivipi hivi unajua Mandela Road nayo itakuwa na BRT yake BRT phase V ndo maana Ubungo intersection imeacha nafasi level ya juu itakayokutana na BRT phase IV ya Ali Hassan Mwinyi/New Bagamoyo Road pale Mwenge! Ile ya Mwalimu Nyerere ina nafasi kati imeachwa kwa ajili ya BRT phase III! Kwa vyovyote vile Mabbey flyover is the most easier design to accomodate DART .






 

Attachments

  • 1590955180502.jpeg
    8.6 KB · Views: 24
Approach waliyotumia kufanya barabara ziigawe terminal inasadia sana kuaccommodate wasafiri wengi. Nlitamani ile ya Mbezi Luis pale mabasi yanapotumia kuingia kwenye jengo ndo ingekua highway then kila upande ungekua kama terminal
kivipi? wacha ku-cram mzee subiri uone design ya Mbezi ikikamilika! Sioni cha maana kwenye hii ya Lagos hii kugawanya terminal haisaidii kitu as a matter of fact inazuia chance ya hiyo barabara kupanuliwa! Huwezi kufananisha barabara ya mtaa Lagos na highway ya Mkoa inayopanuka kila siku, yaani barabara ya kuelekea Chalinze na mikoa na nchi jirani igawanye Mbezi bus terminal, halafuu? Mi napenda design ya Mbezi bus terminal as imejengwa fly over yake kuingia Morogoro road bila traffic interference! Modern bus stand zinakuwa hivyo! hii Oshodi ya Lagos kwanza ni ndogo halafu hii steel structure inakaa kwa ya kwa ajili ya minibuses kwa vile hizo ramp na height zake haziwezi kupitisha mabasi makubwa ama double decker! Jaribu kuisoma hiyo picha vizuri mind u Lagos ina watu 20 mln na hii structure already looks small!! BTW hilo daraja cable stayed bridge ni foot bridge ya wanao-park magari na kwenda kupokea wageni au kusafiri!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…