Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wasije kusahau mfumo wa brt ,hata daraja la salender jipya sijui kama wamezingatia brt ? maana mabasi yanafaa kupita hapo ndiyo fahari yetu
Hata hii ya mwenge ilidelay kutokana na BRT since mabey bridge moja ni risk kuweka lanes zaidi ya mbili. Ili kufanikisha hilo inatakiwa walaze three bridges parallel
 
Be ready kuwa-expose!

BTW mbona cha kawaida sanaaa unaweza kukuta gharama yake ni kubwa kuliko Mbezi bus station! Angalia hii bus Terminal


Oshodi Transport Interchange

Buhari to Unveil $70m Oshodi Transport Interchange - THISDAYLIVE
Approach waliyotumia kufanya barabara ziigawe terminal inasadia sana kuaccommodate wasafiri wengi. Nlitamani ile ya Mbezi Luis pale mabasi yanapotumia kuingia kwenye jengo ndo ingekua highway then kila upande ungekua kama terminal
 
Ndiyo maana yake, kwa Dar green spaces ni nadra sana maeneo ya mijini labda nje kdg ya mji ndo utazikuta
Topic closed. Karibu Nairobi upigwe na kibaridi ukifurahia mandhari tulivu ya miti na recreational parks. Miezi za sita na saba huwa ni msimu wa baridi
 
Topic closed. Karibu Nairobi upigwe na kibaridi ukifurahia mandhari tulivu ya miti na recreational parks. Miezi za sita na saba huwa ni misimu ya baridi
Hahahaha nikitaka baridi Tz lipo naenda Iringa, Mbeya au hata moshi, kuna baridi kule Nairobi ikasome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…