inasemekana traffic jam imefika 80km
Hivi mme-notice kwenye hii video wameanza kuweka nguzo za umeme kwenye viaduct?
Kuna kitu watu wengi huwa hawakifikirii, mizigo huwa ipo ya serikali na ya wafanyabiashara, mfanyabiashara huwa anaamua mwenyewe afanye nini na mzigo wake, serikali ya kenya na uganda zikikubzliana kutumia sgr hili suala halimhusu mfanyabiasharawanataka ICD iwe operational kwa kuwalazimisha wafanyabiashara kutumia usafir wa SGR, kitu ambacho ni hatari sana kuwaforce
Matako ya masikini yanalia bwata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAJUMBA yako along barabara .. . ..... Na izi miapartment munaziita cbd munalinganisha na nairobi.....nyie washamba aki
hakika sindano zimefika panapostahili ππMAJUMBA yako along barabara .. . ..... Na izi miapartment munaziita cbd munalinganisha na nairobi.....nyie washamba aki
ππππππππMatako ya masikini yanalia bwata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakika sindano zimefika panapostahili ππ