Kenya inaenda kudondoka kiuchumi. Tanzania inaenda kuovertake kenya very soon, kwa mwendo huu sidhani kama Kenya itapona.
Imefika sehemu hata hela ndogo ya kitu fulani inawalazimu kukopa, hii inamaana wanachokusanya chote wanalipa madeni na nyingine inaingia mifukoni mwa watu.
Usitarajie mradi wwte mkubwa ambao utakaofanywa na Kenya kwenye kipindi hich maana hakuna mkopo watakaogewa, hii mikopo ya ajabu wanayopewa sasa ni ile ya huruma ya majanga.
China iliona hilo mapema ikabidi wajitoe kufadhili Reli yao ya kaskazini (North corridor), na kama China wamejitoa kwenye hilo basi hakuna Nchi inayoweza fadhili hyo white elephant maana TZ tu tulikosa mpaka tukaanza na pesa zetu ndo wakaja, je Kenya mnaweza anza na pesa zenu?? Ikiwa hata hela ya kupambana na locust mnakopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
First of all develop your economy iwe na uwezo ya ku finance budget 100%, with surplus. Vyanzo vya kutega uchumi havitoshi ku finance national budget, your annual revenue collection in relation to recurrent budget is meagre, reason you are LDC kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]Aisee hawa jamaa wanapoelekea hadi mishahara ya watumishi wataomba msaada au mkopo[emoji1787][emoji1787]
Natamani siku ifike CRDB au Benki yyte ya kitanzania tuanze kutoa mikopo Africa, na sisi tuanze kuweka terms zetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tanzania ni DEAD STATE, died long time ago, now it is stinking. Kutoka mpate Uhuru hadi sasa mpo mpo tu.Ni failed state ooohhh no sio failed state ni SHITHOLE MIDDLE FINGER COUNTRY[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda taratibu kaka, Apo kwenu mnann chakujipiga kifua?Tanzania ni DEAD STATE, died long time ago, now it is stinking. Kutoka mpate Uhuru hadi sasa mpo mpo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Failed state is above you dead state,despite our weaknesses kama corruption, ukabila, natural factors against us like drought and arid areas kibao, nyie waficha uchi hamtazaa hivi karibuni, pengine Kenya "iwabake" (by exposing your detororiated situation)., ili mpone., mnaishi kwa illusions tu ilhali vitu kwa ground ni different,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
waliifanyaje siri wakat hio mikopo tunaijua.. na walisain hadharan mbele ya waandishi wa habari?
hizo ni siasa takataka, itawafumbaza tu wasioelewa
kama ulikuwa hujui, WB na IMF kwamwe hawapendi nchi za africa kutekeleza miradi ya kimkakati ndo mana wanatukazia sana, wanasingizia tuna hali mbaya kiuchumi, mfano WB walikataa kutupa mkopo wa SGR, Nyerere HPP nao waliukataa.. juzijuzi tumesikia wameblock kutoa mkopo kwa mkandaras mmoja wa ujenzi wa hii plant.. bahati nzuri AfDB wapo begabega kutusaidia kujenga miradi ya kimkakati
Itakuwa vizuri ukitueleza ni render ya jengo lipi na litajengwa wapi!
Kama sio Dar hii itakuwa DodomaNHC mixed urban development. Possibly Dar. Nimeikuta sehemuView attachment 1457462
It sound Paranoid anyway jipe moyoFailed state is above you dead state,despite our weaknesses kama corruption, ukabila, natural factors against us like drought and arid areas kibao, nyie waficha uchi hamtazaa hivi karibuni, pengine Kenya "iwabake" (by exposing your detororiated situation)., ili mpone., mnaishi kwa illusions tu ilhali vitu kwa ground ni different,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni Nhc ingawa hawajasema ni mkoa gani but kwa jinsi lilivyo ni dar, nilishaliona hata mimi kitambo.NHC mixed urban development. Possibly Dar. Nimeikuta sehemuView attachment 1457462
View attachment 1457465
Non stop. Kunyaland endeleeeni kushangaaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
Hatuwezi kuendelea na kafyu, lockdown, Rais Uhuru asema
Cc: Nicxie, komora096 Teargass MK254 mwaswast Zigi Rizla Edward Wanjala [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1457493View attachment 1457494
Hawawez natulijua ilo. ..Jpm wala hakuona aibu kusema mapema kila mtu ajilinde kivyake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]
Hatuwezi kuendelea na kafyu, lockdown, Rais Uhuru asema
Cc: Nicxie, komora096 Teargass MK254 mwaswast Zigi Rizla Edward Wanjala [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1457493View attachment 1457494
Yn wakenya wamepoa mpk hawana ladha humu ndani [emoji3][emoji3][emoji3]hapo katoka kunywa kidogo kwanza ili awe na ujasiri wa kwenda kinyume na masharti ya IMF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]