Kitu kinaenda faster
UBUNGOView attachment 1455523View attachment 1455524View attachment 1455525
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kukopa hadi mlo na kupelekeshwa na western nyie ni zaidi ya LDC Mnafaa kuitwa shithole kabisaThere is only one country in EA that is not LDC. And it's not Tanzania.
As you build your first flyover, Kenya is counting not less than 50.. Pure LDC.
Enda ubishane na Burundi.
pale pale broSehemu gani, ni pale pale kwenye Stesheni ya zamani au sehemu nyingine, kama unafahamu ningependa kujua.
Wazee wa kukopa hadi mlo na kupelekeshwa na western nyie ni zaidi ya LDC Mnafaa kuitwa shithole kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
tanzania is building the first three level interchange in east africa hope umeelewa😂😂😂😂😂
Kuna sehemu nimetaja flyover apo, mm nmekwambia nioneshe three level interchange au hata 4 level km unayo usiseme flyover tu, cable bridges, electric train ili niamini ww co ldc but km huna basi unajidanganya [emoji3][emoji3][emoji3]
Kupanga ni kuchagua tuko na mikopo mingi hatujawahi kuona kama kila kitu kunahitaji mkopo. ...tunakusanya revenue zetu wenyewe tunaweza adjustAliye na hela ndiye hukopeshwa.
LDC hata nguvu ya kukopa hamna.
Key words [emoji23][emoji23][emoji23]Key words: Midofinga kantri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahyo umeshadelete ulochosema au sijakuelewaThika road at Pangani is already a 3 level interchange. 10 year old road.
Alafu, you only build what you need. We can't go building '3 level interchanges' when we don't need them.
Hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]
Tanzania unayoita ldc ina asilimia ndogo ya masikini ukanda huu [emoji23]
Hiyo Kunyaland midofinga kantri ina idadi kubwa ya masikini ukanda wote huu [emoji23]
Ile interchange yenu iliwafaa kwa miaka iyo 10 iliopita...hata reli wajeruman waliojenga miaka ile ya 1800's hauwezi fanananisha na SGR inayojengwa sasa. ..Nilichosema ni kwamba interchange mnayosifia sasa ilijengwa Pangani, Nairobi 10 years ago.
Mradi unaojengwa sasa hivi wa JKIA to Westlands pia unaongeza '3 level interchange' mbili.
Kuna sehemu nimetaja flyover apo, mm nmekwambia nioneshe three level interchange au hata 4 level km unayo usiseme flyover tu, cable bridges
Ile interchange yenu iliwafaa kwa miaka iyo 10 iliopita...hata reli wajeruman waliojenga miaka ile ya 1800's hauwezi fanananisha na SGR inayojengwa sasa. ..
Sent using Jamii Forums mobile app
And What about Mombasa ..mbona mmechukua mda mrefu sana kujenga...na nyie mna mna uchumi mkubwa ..Kenya sio nchi ya maziwa makuu. Maeneo ya kuvuka mapana sio mengi.
Bridge kubwa na ndefu hata miaka 100 mtakuwa nazo mingi sababu ya geography.
Hahaha!...Akili ndogo sana,hivi unafikiri bus stand basic aim ni kubebea na kushusha abiria tu?
Btw mnahitaji highway kama izo zaidi imekuaje miaka 10 baada yakuanza kutumia thika highway hamjajenga nyingineBarabara ya Thika ilijengwa kutufaa kwa miaka mingi. Capacity yake bado.
Vile vile daraja la Brooklyn New York bado liko poa leo, miaka zaidi ya 100 baadaye.
Kupanga ni kuchagua tuko na mikopo mingi hatujawahi kuona kama kila kitu kunahitaji mkopo. ...tunakusanya revenue zetu wenyewe tunaweza adjust
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu mbaya jamani, hku karibia basi zote kuna waiting lounge.. tembea ujionee wacha kukurupukaTuonyeshe hizo lounge za hayo makampuni ya mabasi tuone please. Kama kitu hakuna huko unakubali tu ukweli. Nasema usilazimishe nyeupe kuwa njano ebo!