jiwe jeusi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 863
- 850
Tuonyeshe hizo lounge za hayo makampuni ya mabasi tuone please. Kama kitu hakuna huko unakubali tu ukweli. Nasema usilazimishe nyeupe kuwa njano ebo!
Waafrika tumeamua kuurudia huu upande ngj muone matokeo yake, huu upande ndio kiboko ya wazungu yn magonjwa yote ya kutengenezwa maabara hapo ndio kiboko yake, hakuna cha Ukimwi wala takataka gn tiba asili ndiyo kiboko yake, subirini muone[emoji116][emoji116]
Dawa ya corona yathibitishwa Tanzania, inaponya na kansa “Watu hawatokufa tena” (+video)View attachment 1455399
Good news ni kwamba ile dawa ya NIMRI iliyo tengenezwa Tanzania inafanya vizuri kuliko ile ya Madagascar [emoji23]Walitupumbaza hawa washenzi tukasahau kufanya research zetu wenyewe, Dr Sebi alipata mafanikio sana kwenye kutibu magonjwa sugu US akaitumia WHO kumpinga akagonga mwamba.. Kilichojili nikuuawa kwa Dr Sebi, what a shame sasa ni muda wakuweka nguvu kwenye tafiti zetu kama Mh Raisi alivyo agiza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wafuasi wa Dr. Sebi wapo humu Jf yn km watu watakuwa na imani nao kwakweli haya magonjwa km ukimwi, cancer, kisukari ni magonjwa madogo tu, me mwenyewe ni shahidi ktk hilo.Walitupumbaza hawa washenzi tukasahau kufanya research zetu wenyewe, Dr Sebi alipata mafanikio sana kwenye kutibu magonjwa sugu US akaitumia WHO kumpinga akagonga mwamba.. Kilichojili nikuuawa kwa Dr Sebi, what a shame sasa ni muda wakuweka nguvu kwenye tafiti zetu kama Mh Raisi alivyo agiza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pia naskia kuna dawa ya Corona kutoka Kibaha imeonekana ina ufanisi katika kutibu cancer pia.Good news ni kwamba ile dawa ya NIMRI iliyo tengenezwa Tanzania inafanya vizuri kuliko ile ya Madagascar [emoji23]
Wacha guinea [emoji200] ziendelee kusubiri dawa.
Safi sana.Pia naskia kuna dawa ya Corona kutoka Kibaha imeonekana ina ufanisi katika kutibu cancer pia.
So, does Kenya have those infrastructures? If not, then it's LDC [emoji3][emoji3]
Wafuasi wa Dr. Sebi wapo humu Jf yn km watu watakuwa na imani nao kwakweli haya magonjwa km ukimwi, cancer, kisukari ni magonjwa madogo tu, me mwenyewe ni shahidi ktk hilo.
Hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]There is only one country in EA that is not LDC. And it's not Tanzania.
As you build your first flyover, Kenya is counting not less than 50.. Pure LDC.
Enda ubishane na Burundi.
Kuna sehemu nimetaja flyover apo, mm nmekwambia nioneshe three level interchange au hata 4 level km unayo usiseme flyover tu, cable bridges, electric train ili niamini ww co ldc but km huna basi unajidanganya [emoji3][emoji3][emoji3]There is only one country in EA that is not LDC. And it's not Tanzania.
As you build your first flyover, Kenya is counting not less than 50.. Pure LDC.
Enda ubishane na Burundi.
tanzania is building the first three level interchange in east africa hope umeelewa😂😂😂😂😂There is only one country in EA that is not LDC. And it's not Tanzania.
As you build your first flyover, Kenya is counting not less than 50.. Pure LDC.
Enda ubishane na Burundi.
[emoji3][emoji3][emoji3]Naona washaanza kumuelewa JPM,
Huu uzi umeandikwa kiuchungu sana.
Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania - JamiiForums
Usiku panawaka balaaBTW nafikiri JPM anaenda kuzindua Dodoma bus stand!
Naona washaanza kumuelewa JPM,
Huu uzi umeandikwa kiuchungu sana.
Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania - JamiiForums
karibu na central policeStesheni ya Dar inajengewa sehemu gani?
posta bro
Mitaa hiyo hiyo kiongoziSehemu gani, ni pale pale kwenye Stesheni ya zamani au sehemu nyingine, kama unafahamu ningependa kujua.
Hiyo Burundi unayoidharau kuna watu wenye maisha mazuri kuliko ukoo wenu wote [emoji23]
Tanzania unayoita ldc ina asilimia ndogo ya masikini ukanda huu [emoji23]
Hiyo Kunyaland midofinga kantri ina idadi kubwa ya masikini ukanda wote huu [emoji23]