NIMR ina matawi mengi tu haiitaji kuongezwa mengine labda hospitali zilizopo kuongezwa vitengo (equipped) vya magonjwa ya milipuko ila si kwa mavitanda hayo its not economic visible! Streamlining operation and capacity building ni muhimu zaidi! Pitia NIMR utaona wana branch zisizopungua 6 around the country! In my opinion only capacity building in the existing centres n rapid response in case of an outbreak is all what is needed! Even Ifakara institute ina branch za kutosha!ili kuenhance huduma za afya hasa kwa magonjwa ya mlipuko, napenda kuwe na hospitali za kikanda ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko na ziwe na vifaa/mashine vya kila aina, pia kweny hizo hospitali kuwe na vituo vya utafiti vya NIMR
1. ile ya mtwara iongezwe vitanda at least ziwe 1000 beds (currently zipo 600hiv) na kituo cha utafiti cha National Institute for Medical Research, NIMR, iwepo huko kwa ajili ya kanda ya kusini)
2. ijengwe hospital kubwa ya 1000 beds na kituo cha NIMR kwa ajili ya kanda ya nyanda za juu kusini hasa mkoan mbeya
3. kwa kanda ya kaskazin kwa mikoa ya North-East, ile hospitali ya Mara, Mwl. Nyerere Memorial hospitali iongezwe nayo vitanda mpka 1000 beds na pia kuwepo na kituo cha utafiti, NIMR.
4. kanda magharibi iwepo Kigoma au ile Bugando nadhan inatosha
5. kanda ya kati, hospitali zilizopo na zinazojengwa dodoma zinajitosheleza
hizo hospitali si kwa ajili ya magonjwa ya mlipuko ila pia kwa huduma nyingine. yan ziwe hospitali za nguvu kama za muhimbili/BWM-Dom
Kumbuka magonjwa ya milipuko si kila siku! Yaani 1000 beds hospital kwa ajili ya magonjwa ya milipuko tu? Haijakaa sawa kwenye efficient usage of resources baba! Mara nyingi hata nchi zilizoendelea zinakuwa na artificial centers kwa ajili ya hili nyingine in forms of containers! labda kama zitakuwa hospitali za kawaida kipindi milipuko haipo! BTW NIMR centers zina-operate na ziko kwenye research na hospitali zetu! Kwa JPM kujenga hospitali za vitanda 1000 kwa magonjwa ya maambukizi kila zones ni sawa na ku-furmigate coronavirus kwa chlorine!!sijasema hazipo.. ila kweny hizo hospitali kubwa (1000 beds) centres ndo zikae/zihamishiwe hapo hapo.. hio idadi 1000 beds itasaidia kuhudumia nchi jiran mana hizo kanda zipo karibu na mipakan
uhehehe sindano zimekuingia vyema😂😂Tunashukuru kwa kuendelea kuwa part ya viewership ya citizen na ntv, huku kenya hamna anayefahamu media zenyu
Sent using Jamii Forums mobile app
muwarudishe basi ili tujue ni watanzania sio munakaa kutangaza ni watanzania ili kuficha makucha yenu kwa wazungu sisi tunawajua vyema nyinyiIla sitaraji uwakubali watanzania wenzako kwa kuishi in denial nani hawajui....nchi ya maziwa na asali ila wananchi wenyu wanateseka kwenye nchi zingine wakiomba omba
Sent using Jamii Forums mobile app
warudisheni ili tujue ni watanzani
muwarudishe basi ili tujue ni watanzania sio munakaa kutangaza ni watanzania ili kuficha makucha yenu kwa wazungu sisi tunawajua vyema nyinyi
hao ni wakenya wenzao sasa wanatangaza kwa wazungu kama ni watanzania ili waonekane kwao mambo safi kumbe ni ushuzi wa nguruwe😂😂😂Mwaka wa ngapi huu toka tuanze kusikia hizi habari, kama hatabhii issue hawawezi kuishughulikia , what a shame!
[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanzania tangu lini akaweka kambi kenya? Mbn wanataka kuleta mambo ya ajabu, kuna wakazi pale kibera ni zaidi ya ombaomba je nao ni watz?hao ni wakenya wenzao sasa wanatangaza kwa wazungu kama ni watanzania ili waonekane kwao mambo safi kumbe ni ushuzi wa nguruwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hiyo imo kwenye bajeti wanafanya feasibility studyKabla ya huko msamvu wangeanza na mbezi mwisho,maana foleni ya magomeni na ubungo inahamia mbezi,hali itakua mbaya sana pale maana eneo lenyewe ni dogo,wafanye kitu pale aisee
Itakua jambo la mbolea sana,maana pale mbezi kuna barabara zinatotokea kinyerezi na goba,halafu na ufinyu ule!Hata hiyo imo kwenye bajeti wanafanya feasibility study
Hii miradi ya maji imesaidia sana, hii mambo ya kunawa maji tiririka ingekuwa ngumu, ikiendelea hivi tutakuwa vizuri sana kwenye maji hapo baada.tufanye kazi 👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nenda YouTube huko Kenya, katika top 20 trending videos huko Kenya, 7 ni kutoka media za Tanzania from Tanzania, hilo ni kila siku.Tunashukuru kwa kuendelea kuwa part ya viewership ya citizen na ntv, huku kenya hamna anayefahamu media zenyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii miradi ya maji imesaidia sana, hii mambo ya kunawa maji tiririka ingekuwa ngumu, ikiendelea hivi tutakuwa vizuri sana kwenye maji hapo baada.
Maji kutoka ziwa victoria kwenda tabora 600b ni hela nyingi.
Mradi wa maji Arusha na maeneo jirani, 500b.
Bado sehemu nyingi miradi iko kibao.
Sijawahi ona mkenya akipost mradi wa maji humu, wanapost barabara na magorofa na 80% ni Nairobi.
Sasa kama mbinguni kwao tuu (Nairobi) hawana maji, unafikiri wapi tena watakuwa na maradi wa maji?Sijawahi ona mkenya akipost mradi wa maji humu, wanapost barabara na magorofa na 80% ni Nairobi.
Si unaona hata wale waandishi wakajiponza kwenda Tanzania kutafuta habari itakayowafanya watrend,kitakachowakuta watajutaNenda YouTube huko Kenya, katika top 20 trending videos huko Kenya, 7 ni kutoka media za Tanzania from Tanzania, hilo ni kila siku.
Hatuna huo utoto wa kupost miradi ya maji...nini special hapo sasa?Hii miradi ya maji imesaidia sana, hii mambo ya kunawa maji tiririka ingekuwa ngumu, ikiendelea hivi tutakuwa vizuri sana kwenye maji hapo baada.
Maji kutoka ziwa victoria kwenda tabora 600b ni hela nyingi.
Mradi wa maji Arusha na maeneo jirani, 500b.
Bado sehemu nyingi miradi iko kibao.
Sijawahi ona mkenya akipost mradi wa maji humu, wanapost barabara na magorofa na 80% ni Nairobi.