Bata mzinga Bata bukini

Bata mzinga Bata bukini

Kitomari vipi mzinga wangu ametotoa niwape dawa gani?
 
Wape antibiotic hii ina vitamin pia nidawa Tetracolvit
 
Tunapaswa kukuiga bwana kitomari tena sana ufugaji wako ulionivutia sana haswa kwenye kuku wako
 
Hawa weusi hutaga mpk mayai 12 weupe hutaga mayai 6 tu
 
Mkuu kitomari2 ... unaposema weusi una naana ni wale wenye rangi ya kahawa iliyopo kwenye vichwa, mbawa au mgongoni .... ninao sasa hivi ametamia mayai 8
 
ndio kaka
 
Hawa weusi hutaga mpk mayai 12 weupe hutaga mayai 6 tu
kitomari2 naombwa unijuze, kwa sasa mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji na chotara, natamani nianze kufaga bata bukini, je ni lazima uwe na bwawa kwa ajili ya ufugaji wa bukini?
 
Last edited by a moderator:

huwa wanapenda sana kupandana kwenye maji ndugu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom