Hupo mji gani mdau?
niko arusha
Nishawahi kukutembelea mwaka jana,nilipenda sana ufugaji wako.......kaka Maxence Melo na wanahabari wengine,this man should be given credit,ni watanzania wachache sana wenye moyo wa kufanya mradi kama wake...wote mtakaotembelea arusha,just spend some few minutes kumtembelea ndipo mtanielewa.Nilifurahishwa sana na lile shimo la dawa geeitini kwako,na kufuga wanyama aina tofauti nyumbani kwako.Mungu akusaidie ndugu yangu......watu vijijini wakiiga mfano wako,nina uhakika umaskini utapungua.....nasisitiza tena,its a nice place kutembelea,mimi nilifika na nikajifunza mengi yalionisaidia katika ufugaji.ndio nimimi ndugu
Nishawahi kukutembelea mwaka jana,nilipenda sana ufugaji wako.......kaka Maxence Melo na wanahabari wengine,this man should be given credit,ni watanzania wachache sana wenye moyo wa kufanya mradi kama wake...wote mtakaotembelea arusha,just spend some few minutes kumtembelea ndipo mtanielewa.Nilifurahishwa sana na lile shimo la dawa geeitini kwako,na kufuga wanyama aina tofauti nyumbani kwako.Mungu akusaidie ndugu yangu......watu vijijini wakiiga mfano wako,nina uhakika umaskini utapungua.....nasisitiza tena,its a nice place kutembelea,mimi nilifika na nikajifunza mengi yalionisaidia katika ufugaji.