Bata mzinga Bata bukini

Bata mzinga Bata bukini

Bukini wako sasa kaka wanataga? Daah hii kitu kwa yai ni hatari
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

naomba nitafutie mbegu ya lussein kaka
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

Ninatakama 10 ivi brother malizia mambo yako ulionayo weak ijayo nitakupigia naitaji kuchanganya pia
 
Ndugu wana jf wote kuna mtajwa hapo ni jamaa wa arusha ni tapeli sec anatumia namba za simu tofauti tofauti na kwenye matangazo kwenye fb,local promo baada ya kuona jf kimenuka.nimeona ameandika anauza bata ,kuku ,na mengineo..namba yake ni hii na anazo nyingine km tano please wafugaji wenzangu kueni macho..namba zake 0757662401

dated
17/10/2015
 
kweli Jamaa ni mpigaji old school wa JF wanamjua
 
Huyu hata aende peponi tunae nilimwambia wizi una mwisho hatamuzia mtu
 
Mbona mm sielewi? Kitomari2, culboy na poutry farm ni m2 mmoja? Mbona anajiuliza na kujijibu mwenyewe?
 
Back
Top Bottom