Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401
miezi 2 elifu 25 miezi 3 elifu 30
ninao mkuu
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401
Goose ndio bata bukini tafuta mzinga ni turkey
Mfano nikinunua hao wwenye mwezi mmoja kutoka kwao itachukua muda gani mpaka na wangu waanze kutaga mayai?
Na ni chakula gani hasa ambacho wanakula, mimi nafuga na kuku wa kienyeji, je nikiwachanganya ina madhara?
Nitakutafuta Mkuu, ukiniinbox namba yako itapendeza!haina madhara ukiwachanganya nafanya ivyo pia mimi utakaa nao miezi 3 nanusu tu