Bata mzinga Bata bukini

Bata mzinga Bata bukini

Hivi bata mzinga wanaliwa au ni mapambo ya nyumba? na hao bata bukini wakoje?

CC. Kitomari

bata mzinga wananyama tamu sana bata bukini ni wasafi pia hukuta majani Etc Garden pia ni walinzi wazuri kwa mifugo kama kicheche nyoka huwafukuza
 
Kitomari nakukubali sana mkuu una mbegu nzuri sana
 
Karibu sana nadhani wanaendelea poa
 
"Upo"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Atakuwa Muhaya huyo, watani zangu ndio mazuzu wa Kiswahili. Hilo swali lake lingekuwa gumu sana kulijibu manake ingebidi jamaa aorodheshe miji yote ambayo hayupo, duh!
 
Bwana Kitomari, nashukuru kwa maelezo. Kuna wakati nitataka bata maji, si bata bukini. naamini hao unao. kwa hapa Dar nami nauza madume makubwa ya bata mzinga 150,000.00 na mayai ya bata mzinga 5,000.00 mayai ya kanga weupe 1,000,00, kanga weupe wakubwa wanaotaga 35,000.00 (yanapatikana madume na majike), majogoo makubwa ya kuku chotara 20,000.00
 
Hivi bata mzinga wanaliwa au ni mapambo ya nyumba? na hao bata bukini wakoje?

CC. Kitomari
Kwa waingereza wanaiita royal meat...ni tamu kwa hakika. Kila December mimi na familia yangu tunachinja bata mzinga mmoja mkubwa na kumchoma tu. Kwa hakika ni tamu. Pia ni pambo zuri sana hasa madume yanavyojitanua ni kama tausi. Mayai yake ni rich kwa afya kuliko mayai ya kuku wa kienyeji
 
  • Thanks
Reactions: PhD

nashukuru sana mkulima wa kuku, wacha sasa nami kila disemba nipate bata mzinga kwangu na vijana wangu tujipatie afya.
 
Bwana Kitomari, nashukuru kwa maelezo. Kuna wakati nitataka bata maji, si bata bukini. naamini hao unao. kwa hapa Dar nami nauza madume makubwa ya bata mzinga 150,000.00 na mayai ya bata mzinga 5,000.00 mayai ya kanga weupe 1,000,00, kanga weupe wakubwa wanaotaga 35,000.00 (yanapatikana madume na majike), majogoo makubwa ya kuku chotara 20,000.00

Hongera mkuu
Samahani, mayai ya kanga weupe ni 1,000 siyo? nayahitaji sana. unapatikana maeneo gani dar
 
Ndiyo ni 1,000/=Wewe sema tu tuko Kongowe. Kama wiki hii kuna mayai karibu tray nzima. Ukiyahitaji nipigie kwa 0713802075
 
Back
Top Bottom